Pole!
Sina msaada sana ila ukishindwa jilipua na industrial setting ijianze upya ila unaweza poteza data zote
Wenye expereince na hii midude langu hujizima lenyewe na kuonesha screen nyeupe pee nini tatizo

msaada jamani simu yangu ya blackberry imegoma kupiga picha kila nikijaribu inaload tu bila mafanikio.hii imeaanza baada ya kuwipe security:smile-big::smile-big: