Blackberry bold 9700 yagoma kuwaka

kussy

JF-Expert Member
Jun 15, 2010
400
121
Wadau naomba msaada siku ya pili sasa simu yangu ya Blackberry Bold 9700 imegoma kuwaka. ina initialize vizuri inapofika kwenye kuwaka inagoma inarudi mwanzo, mwendo ndo umekuwa huo. je niitupe au kuna uwezekano wa kusolve hii issue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom