BlackBerry Bold 9700 for sale (SOLD)

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Wakuu,

Naiuza BlackBerry yangu kwa bei ya kutupwa (BB Bold 9700). You mention the price, we negotiate.

Imetumika kwa 4months, ina screen protector (haijapata mikwaruzo).

Devices ZOTE zipo ikiwa ni pamoja na box lake
 
laki moja
Hahaha, dah!

Hapo bora nikuzawadie tu mkuu wangu... BURE!

Lakini ukijitahidi unaweza kuichukua, sina fixed price. Sitaki zaidi ya laki 5 ingawa pungufu nitachukua. Ukiiangalia hutojua ishatumika
 
Max, japo nimeshahama kwenye blackbery na kujiunga na samsung kwa sababu iko faster 10 times na picha na video zake ni HD, ukikosa offer ya maana, nitamnunulia mtu kwa hiyo laki 500, 000 as an 'article of ostination', kumiliki simu ya Mkuu Max sio mchezo!

Tena ungefanya mnada wa simu ya Max inauzwa mbona ingefika 1.M!.
 
ungesema unataka ngapi ili tuweze kujikuna mkono unakofika sasa hii kama mtego fulani
 
Kama bei yake inachangiwa na uceleb wa max basi nitashindwaa..kweli niliitakaaa.
 
Mkuu MAX...bawekee na tupicha bana

blackberry-bold-9700-tmobile-001.jpg
 
Max, japo nimeshahama kwenye blackbery na kujiunga na samsung kwa sababu iko faster 10 times na picha na video zake ni HD, ukikosa offer ya maana, nitamnunulia mtu kwa hiyo laki 500, 000 as an 'article of ostination', kumiliki simu ya Mkuu Max sio mchezo!

Tena ungefanya mnada wa simu ya Max inauzwa mbona ingefika 1.M!.
Hahaha, nashukuru Mkuu kwa maelezo.

Hapa siiuzi kwakuwa nina shida ya hela, nauza kwakuwa natakiwa kubadili handset. Kabla ya kumpa mtu naisafisha data zote inakuwa kama imetoka dukani.

Shukrani mkuu, much appreciated

Kuna mtu kaulizia picha:

blackberry-9700.jpg
 
Sio mtu bana ni mimi binamu yako umenisahau?
 
Mkuu laki 2 na nusu kijana aifuate hapo kwako chap chap
Tayari Pasco kasema anaweza kuichukua kwa laki 5. Ila nitampunguzia nimpe kwa laki 4 na nusu.

Hata hivyo, kama kuna mwenye kuhitaji bado kuna namna nyingine inaweza kufanyika. It's not less than 500k kwa simu ambayo imetumika pungufu ya 5months na imetumiwa na mtu asiyedondosha ovyo, (BB 9700).
 
Max, japo nimeshahama kwenye blackbery na kujiunga na samsung kwa sababu iko faster 10 times na picha na video zake ni HD, ukikosa offer ya maana, nitamnunulia mtu kwa hiyo laki 500, 000 as an 'article of ostination', kumiliki simu ya Mkuu Max sio mchezo!

Tena ungefanya mnada wa simu ya Max inauzwa mbona ingefika 1.M!.

Nazimia sana Samsung...nigusie hiyo yenye spidi ni model gani?
 
Hahaha, nashukuru Mkuu kwa maelezo.

Hapa siiuzi kwakuwa nina shida ya hela, nauza kwakuwa natakiwa kubadili handset. Kabla ya kumpa mtu naisafisha data zote inakuwa kama imetoka dukani.

Shukrani mkuu, much appreciated

Kuna mtu kaulizia picha:

blackberry-9700.jpg

Ok, akikosekana kabisa mtu, nitawasiliana na wewe, niipeleke kijijini, jamani watu kama mpo, simu ndio hiyo nimefika laki tano, bei ya dukani ni laki 8, inaenda kijijini, kufikia jioni funga bid, nikabidhi simu!.
 
Pasco utasababisha tufe njaa mjini....watu wataacha kwenda shamba wakishangaa hiyo simu(LoL)
 
mkuu nataka nitabiri cm utakayochukua baada ya kutoa bb kwa idhini yako
 
Max, japo nimeshahama kwenye blackbery na kujiunga na samsung kwa sababu iko faster 10 times na picha na video zake ni HD, ukikosa offer ya maana, nitamnunulia mtu kwa hiyo laki 500, 000 as an 'article of ostination', kumiliki simu ya Mkuu Max sio mchezo!

Tena ungefanya mnada wa simu ya Max inauzwa mbona ingefika 1.M!.
Blackberry siku hizi hazina mpango! iphone!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom