Blackberry 9800 inauzwa

mkali wao

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
545
500
Simu hiyo hapo blackberry torch 9800 inauzwa kwa bei ya 160,000 tu... Ipo katika hali nzuri ya kutumika ila ina kamstari kidogo kwenye kioo..
Ni ya kuslide pia ni touch screen,ina flash camera n.k.. For more specification unaweza kugoogle "BlackBerry torch 9800"
Kwa mawasiliano zaidi nicheki PM, whatsapp kwa namba 0714499248 au nicall/nitext kupitia namba hiyo hiyo.
Nipo DAR
 

Attachments

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom