Blackberry 8120 inanisumbua kwenye internet

Blackberry 8120 inanisumbua kwenye internet

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
18,114
Reaction score
28,014
Mwenye kujua anipe msaada wa kufanyia configuration Blackberry 8120 ili niweze pata internet kwa line ya Tigo,maana kila ninapojaribu kufungua internet inaniambia wi-fi not connected.
 
Mkuu,piga namba *148*01# chagua 6 vifurushi vya tigo,then chagua 3 vifurushi vya blackberry, baada ya hapo utatumiwa blackberry browser configuration.
 
Back
Top Bottom