BlackBerry 4 Haraka sana

anataka bb 4 kwa matumizi ya familia, ukupita kwake kutaitwa kwa mzee wa blackberry anatumia zote 1 tigo, 2 voda 3 airtel 4 zantel
 
nenda dukani ndo njia rahisi km unataka za bei chee ukubali kuumia tu otherwise nunua hata ya mchina
 
sasa ukiporomoshewa mitusi utaanza kulaumu watu maana unaadnika vitu hata hueleweki...aaagh

Watu wengine bana.....akuna alieperfect....unamrekebisha mwenzio kwa ukali alafu unarudia kosa lilelile
 
Hivi huyu bwana bado yumo humu? maana aliniuzia BB curve haijamaliza hata miezi miwili, imekufa!

ndugu yangu naamini kama kweli nilikuuzia simu na ikakusumbua lazma ungenitafta unijulishe but so far sijaskia any complain kwa any of my customer kwamba nimemuuzia simu ukakufa ,na ndio inawezekana nikawa kweli nimekkuzia lakini ikawa umeiua mwenyewe ndio maana hujaona haja ya kunitafta zaidi ya kunishutumu hapa.
 
Duu huyu mat ni balaa simu zake si kabisa...yangu hata haikumaliza week ikawa written off...lo sikushauri..

ndugu yangu naamini kama kweli nilikuuzia simu na ikakusumbua lazma ungenitafta unijulishe but so far sijaskia any complain kwa any of my customer kwamba nimemuuzia simu ukakufa ,na ndio inawezekana nikawa kweli nimekkuzia lakini ikawa umeiua mwenyewe ndio maana hujaona haja ya kunitafta zaidi ya kunishutumu hapa.
 
ndugu yangu naamini kama kweli nilikuuzia simu na ikakusumbua lazma ungenitafta unijulishe but so far sijaskia any complain kwa any of my customer kwamba nimemuuzia simu ukakufa ,na ndio inawezekana nikawa kweli nimekkuzia lakini ikawa umeiua mwenyewe ndio maana hujaona haja ya kunitafta zaidi ya kunishutumu hapa.

Kaniuz sana aliyekupata matope
 
Back
Top Bottom