Blackberry 10 ya kwanza imeingia sokoni!!

Sajo

Platinum Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
4,545
Reaction score
8,263
Hatimae blackberry 10 ya kwanza imeingia sokoni,inaitwa blackberry z10 ni full touchscreen phone without physical keyboard kama iphone,kwa maelezo ya wazoefu wa bb hasa crackberry,inaonekana hii simu na OS10 kwa ujumla ni mashine sana.iphone5 na galaxy na lumia zinaonekana kupotezwa na hii mashine,only kwa display inaonekana iphone5 ipo juu,browsing inaonekana z10 ipo standard sana,kwa wapenzi wa bb(mimi nikiwa mmoja wao) hope android hawatatutesa tena as OS10 itakuwa na app za kutosha,almost zote za android
.specific features za Z10(inasomeka zedi teni au zii teni)ni hizi:

Display:4.2 Multi-touch LCD display
Software:Blackberry 10 OS
Memory:2GB ram,16GB(inbuilt memory,support Micro SD up to 32GB)
Processor😀ual Core 1.5Ghz
Camera:8MP(camera ya nyuma) and 2MP(ya mbele)
About perfomance tutajua vizuri tukishaishika mkononi..
 
Attachments

  • blackberry-z10.jpg
    blackberry-z10.jpg
    20.3 KB · Views: 437
Sijui itauzwa milioni ngapi,hadi ikifika huku
 
Aisee mi bado ni fanatic wa physical keyboard na ndio maana mpaka leo iPhone zilinishinda naendelea kudata na BB zangu. Ngoja tuendelee kusubiri tuone
 
Keyborder mwenzangu tungojee Blackberry Q10 iingie sokoni, inayo qwerty physical keyboard.

M4C.
 
,inaonekana hii simu na OS10 kwa ujumla ni mashine sana.iphone5 na galaxy na lumia zinaonekana kupotezwa na hii mashine

mkuu umenichekesha kweli never ever hii simu iishinde lumia 920 atleast aje fan wa sony experia z anaeza akanifunga mdomo in term of water proof ila bb z ten ni failure.

worst camera ever happen
mkuu haijawah tokea camera mbaya kwa kipind kirefu sana kwa flagship kama ya z10
-ona low light

xlarge.jpg

-picha nyengine demo
cmt-large.jpg

hii picha ya 2 imetestiwa na hao unaosema crackberry so we unasema wamesema bb10 imedestroy lumia na wao wamempa lumia ushindi.

So kwenye camera toa jibu mwenyewe.

lumia 920 have better accessories
ishu za wireless charge, jbl power up speakers, nokia monster purity headphones na makorokoro yote ya nokia yanamshinda bb zaidi ya chaja na earphone za kawaida bb hamna kitu.

nokia has more exclusive app
kuna nokia map, drive, traffic, angrybirds (ya nokia tu), photobeamer, citylens, na nyengine nyingi.

Bb exclusive app zake kataja skype, angrybird ya kawaida wakati zote hizo os nyengine wanazo.

screen technology
bb z10 ina mu aoutclass lumia kwenye ppi tu ila lumia 920 ina advantage nyingine kama nokia clear black display, screen refresh 2.5 faster than bb na pia screen ya lumia unagusa na kitu chochote wakati bb ni vidole tu.

Yapo mengi sana mkuu lumia 920 wacha iwe yenyewe tu kama wewe bb fanboy kawaringishie iphone na android wenzio mnaotumia wote static icon
 
Hatimae blackberry 10 ya kwanza imeingia sokoni,inaitwa blackberry z10 ni full touchscreen phone without physical keyboard kama iphone,kwa maelezo ya wazoefu wa bb hasa crackberry,inaonekana hii simu na OS10 kwa ujumla ni mashine sana.iphone5 na galaxy na lumia zinaonekana kupotezwa na hii mashine,only kwa display inaonekana iphone5 ipo juu,browsing inaonekana z10 ipo standard sana,kwa wapenzi wa bb(mimi nikiwa mmoja wao) hope android hawatatutesa tena as OS10 itakuwa na app za kutosha,almost zote za android
.specific features za Z10(inasomeka zedi teni au zii teni)ni hizi:

Display:4.2 Multi-touch LCD display
Software:Blackberry 10 OS
Memory:2GB ram,16GB(inbuilt memory,support Micro SD up to 32GB)
Processor😀ual Core 1.5Ghz
Camera:8MP(camera ya nyuma) and 2MP(ya mbele)
About perfomance tutajua vizuri tukishaishika mkononi..

Mtu wangu fanya uiache blackbery. Sifikiri kama itatomea BB kuwa juu zaidi ya iphone, android phones (especially samsung) na nokia. Kwani BB is not an entertainment device, zaidi ya BBM hakuna chengine kizuri. Hata bbm saiv imepotea kitu watsapp tu kwnda mbele.
 
bei yake ni £534 kwa uk pay as you go na kwa contract via vodafone ni £42 per month, ila ukweli hawa jamaa hawakujipanga kufanya presentation ya kutosha hivi vitu vinahitaji maandalizi, siwezi kusemea kuhusu simu yenyewe maana sijainunua ila nasemea kwenye uzinduzi wa hii simu uliofanyika juzi uk huyu mtoa speech wao sio siri alichemsha sana na baadhi ya waandishi wa habari wa uk wamemnanga sana na hata wananchi wameiponda sana presentation yake ni sawa na ya malugo kabisaa alikuwa na ukimuona alikuwa anamuoga steve job the way alivyokuwa anafanya presentation, wajaribu hata kuiga kwa samsung ni wa korea ila wanawatumia wenye uzoefu kufanya presentation ya ushawishi/kutongoza mtu akatongozeka, anyway ngoja tusubiri mapokeo ya watu sokoni.
 
Bado mnashindanishaga tu hizo baiskeli zenu za mbao! Haya bwana endeleeni ku BBM
 
Na kuongezea Lumia 920 ni very heavy in terms of weight compared to the others
 
kabla bb haijaingia marekani tarehe 25 mwez huu nokia anatoa alluminium version ya lumia 920 ambayo ni nyepesi zaidi. Na anatoa 41mp ya windows phone. Upooooo
 
BlackBerry na Nokia wote vilaza tu hamna jipya,,
hivi mtoto wa kishua na mtu anayefanya research all time nani kilaza?

Google, apple, samsung na wengine wengi wanaspend less kwenye research wao wanasubiri wenzao wagundue then wao wanunue tu. (naongelea issue ya simu tu)

nokia anaspend hadi 3.9 bilion usd kwenye research zaidi ya trilion 6 (nusu ya budget ya tanzania) wakati mtu kama apple anasped 1/5 ya nokia

ndo mana unakuta kampuni nyingi zinamlipa nokia kwa akili yake.
1)kila iphone/ipod moja inayouzwa nokia anapata dola 6/7

2) blackberry amemlipa nokia dola milion 50 quarter iliopita na ataendelea kulipa kwa kutumia patent za nokia kwenye bb10

3) nokia ndo kampun pekee ya simu inayoresearch graphene lakini tayari samsung ana patent 400 tiyari nae ashatoa cash japo deal halijawa revealed

sasa hapa nisaidie wewe kilaza ni yule anaesubiria wenye akili wagundue au yule alogundua ndio kilaza
 
Honestly I do respect Nokia a lot amekuwa kwenye game kwa muda sana
Tatizo wakati huu ni wachache wenye inner info kama hizo
End users wapo aware na nn wanapata kwenye hzi devices
 
hivi mtoto wa kishua na mtu anayefanya research all time nani kilaza?

Google, apple, samsung na wengine wengi wanaspend less kwenye research wao wanasubiri wenzao wagundue then wao wanunue tu. (naongelea issue ya simu tu)

nokia anaspend hadi 3.9 bilion usd kwenye research zaidi ya trilion 6 (nusu ya budget ya tanzania) wakati mtu kama apple anasped 1/5 ya nokia

ndo mana unakuta kampuni nyingi zinamlipa nokia kwa akili yake.
1)kila iphone/ipod moja inayouzwa nokia anapata dola 6/7

2) blackberry amemlipa nokia dola milion 50 quarter iliopita na ataendelea kulipa kwa kutumia patent za nokia kwenye bb10

3) nokia ndo kampun pekee ya simu inayoresearch graphene lakini tayari samsung ana patent 400 tiyari nae ashatoa cash japo deal halijawa revealed

sasa hapa nisaidie wewe kilaza ni yule anaesubiria wenye akili wagundue au yule alogundua ndio kilaz
chief-mkwawa big up
 
Last edited by a moderator:
hivi mtoto wa kishua na mtu anayefanya research all time nani kilaza?

Google, apple, samsung na wengine wengi wanaspend less kwenye research wao wanasubiri wenzao wagundue then wao wanunue tu. (naongelea issue ya simu tu)

nokia anaspend hadi 3.9 bilion usd kwenye research zaidi ya trilion 6 (nusu ya budget ya tanzania) wakati mtu kama apple anasped 1/5 ya nokia

ndo mana unakuta kampuni nyingi zinamlipa nokia kwa akili yake.
1)kila iphone/ipod moja inayouzwa nokia anapata dola 6/7

2) blackberry amemlipa nokia dola milion 50 quarter iliopita na ataendelea kulipa kwa kutumia patent za nokia kwenye bb10

3) nokia ndo kampun pekee ya simu inayoresearch graphene lakini tayari samsung ana patent 400 tiyari nae ashatoa cash japo deal halijawa revealed

sasa hapa nisaidie wewe kilaza ni yule anaesubiria wenye akili wagundue au yule alogundua ndio kilaza

Achana nae mdau wa tecno huyo.
 
Haaaaaa wewe hamna kitu iphone bdo iko juuuu , iyo inaingia virus iphone akuna kitu ikooo

usiwe unaongea kitu ambacho huna uhakika nacho,nimetumia lumia kwa muda xana,cjawah kuwaza kuhusu virus! WINDOWS PHONES NA VIRUS NI KAMA MBINGU NA NCHI...NEVER GET VIRUS!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom