mkuu umenichekesha kweli never ever hii simu iishinde lumia 920 atleast aje fan wa sony experia z anaeza akanifunga mdomo in term of water proof ila bb z ten ni failure.
worst camera ever happen
mkuu haijawah tokea camera mbaya kwa kipind kirefu sana kwa flagship kama ya z10
-ona low light
-picha nyengine demo
hii picha ya 2 imetestiwa na hao unaosema crackberry so we unasema wamesema bb10 imedestroy lumia na wao wamempa lumia ushindi.
So kwenye camera toa jibu mwenyewe.
lumia 920 have better accessories
ishu za wireless charge, jbl power up speakers, nokia monster purity headphones na makorokoro yote ya nokia yanamshinda bb zaidi ya chaja na earphone za kawaida bb hamna kitu.
nokia has more exclusive app
kuna nokia map, drive, traffic, angrybirds (ya nokia tu), photobeamer, citylens, na nyengine nyingi.
Bb exclusive app zake kataja skype, angrybird ya kawaida wakati zote hizo os nyengine wanazo.
screen technology
bb z10 ina mu aoutclass lumia kwenye ppi tu ila lumia 920 ina advantage nyingine kama nokia clear black display, screen refresh 2.5 faster than bb na pia screen ya lumia unagusa na kitu chochote wakati bb ni vidole tu.
Yapo mengi sana mkuu lumia 920 wacha iwe yenyewe tu kama wewe bb fanboy kawaringishie iphone na android wenzio mnaotumia wote static icon