Black people hate everything about slavery except religion

That's their traditional beliefs.

But they forced us Africans to dump our own and they indoctrinated theirs.
What Africans decided was- inner comparison between the power of their gods and the almighty God from Israel but not Allah. Because Allah is not God.
 
Hizo ni sheria za shule sasa.

Lugha ya mawasiliano duniani ni kiingereza.

Lakini kama mtu ataona Kiingereza ni utumwa basi aache kujifunza abaki na kiswahili chake.
Mleta mada kubali tu yaishe!! Umeng'ang'ana na kiingereza Kwa sababu tulitawaliwa na waingereza. Kuna wazungu wengi hawajui kuongea kiingereza na wamesambaa duniani. Wachina nao wanaongea broken English kama sisi nao wamesambaa duniani. Kuwa mjanja si lazima uwe mahiri wa kuongea kiingereza.
Nitajie Super Power hapa duniani tofauti na Uingereza na Marekani ambayo wanatumia Kiingereza
 
Language isn't slavery.

No one forces you to use English language and it's not mandatory to use English language.

But religion was introduced to Africans by force and Africans were indoctrinated to believe them by force.
Ninezawaliwa nimekuta babu yangu anaamini mizimu yake, ndugu zangu wengi hawajui mlango wa kanisa wala msikiti. Hao waliolazimishwa dini ni WA wapi?
 
Lugha ya dunia ni kiingereza.

Na wala hilo halina mjadala.
Inategemea unazungumza na hadhira ipi. Upo na Waswahili wenzako unasema Kingereza ni lugha ya dunia? Dunia gani sasa na unaongea na watu wa Manzese?
 
Inategemea unazungumza na hadhira ipi. Upo na Waswahili wenzako unasema Kingereza ni lugha ya dunia? Dunia gani sasa na unaongea na watu wa Manzese?
Kuna sehemu nimetaja waswahili wa Manzese?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Few understands this game of Matrix. Its up to you to choose your cell/ religion. Spirituality is another jail. No need to worship, just understand you are a creator of your own world just command things and will obey.
Me don't bother
 
Few understands this game of Matrix. Its up to you to choose your cell/ religion.
Me don't bother
Don't wait for truth
To come and blind us
Let's just believe their lies

Alan walker: dark side
 
Bro you need to know this ""Every thing is spiritual"" take your time to find understanding on this.
 
There is a world which you can not see with your naked eyes..And is the original world,, bigger and is the world which govern this smallest one
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…