Black Monday??

haina tatizo
huyo ni mdogo wangu
kila kitu hunikosoa
ndo lifedtyle tulochagua.

aaah mjomba?
Muhimu umemuelewa bwana? Mbona unataka yawe mengine hapa,..
 
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.

Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.

nilikumiss sana
si unajua tulivyokuwa tunasimuliana siku ile ulivyomuokoa mtoto asigongwe na gari.

Stchwainn!
Mi nikajua nishapendwa ivo, kumbe unataka tusimuliane ya mtoto wa Mama Felista?
Aaaaagh! Kweli sipendwi...
 
Nakupenda sana
kama mjukuu wangu

Stchwainn!
Mi nikajua nishapendwa ivo, kumbe unataka tusimuliane ya mtoto wa Mama Felista?
Aaaaagh! Kweli sipendwi...
 
Ulabu jumatatu? Utajitia nuksi bure week ianze vibaya dia...
 
Eeeehhh!!! Unaenda kupiga ulabu tena...!! Angalia usije ukafukuzwa kazi. Shauri yako. usije ukasema sikukuonya!
 
Nimechelewa kufika hapa,siku ishakwisha,
ningekusaidia K,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…