Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,166
Hii series ilianza mwaka 2014 lakini kwa muda fulani ilistopishwa mpaka mwaka jana ilipoendelezwa tena. Mpaka sasa nimeishia season 3 episode ya 18 lakini kila season ina episode 24.
Ukiwa unapenda cheka mwanzo mwisho itafute!...mnakaribishwa kama kuna series nyingine za kuchekesha kuziweka hapa tuzijue!..