Ndivyo walivyo Wasudan Kusini na Wasenegali. Weusi wao una mvuto fulani hivi.Malizia: Black is........., Natural .......
Ndo hivo SHIEKA maana kama hali halisi ndo kama unavyoona je yale mazingira yatakuwaje
hehehe yako ndo inawaza yangu haiwazi huko unapofikiria,mi nawaza kikwapaYaani wewe kutwa akili yako yawaza mambo hayo tuuu...au Heaven on earth anakubania? Lol
hehehe yako ndo inawaza yangu haiwazi huko unapofikiria,mi nawaza kikwapa
subuthuuuu,mi hata sijui we umewaza nini,,,,umewaza mbali sana hata sikujua utawaza hichoHahahaha muongo unacho unokiwaza ilooooo.
subuthuuuu,mi hata sijui we umewaza nini,,,,umewaza mbali sana hata sikujua utawaza hicho
hehehe yameisha kiroho safiHaya yaishe basi..
hivi wasudan wana mvuto kweli?Ndivyo walivyo Wasudan Kusini na Wasenegali. Weusi wao una mvuto fulani hivi.