Black is Beautiful !

Mwanamke Nyonga,**** hata kwa mchina lipo
 
Dah aisee kwa stail hii 2tapona? Mtoto huyu unakesha naye mpaka asubuhi na bado hyo haitosh,kwel bwana wa huyu binti hatoki nje ya ndoa aisee.
 
Unajua sana Mandela Madiba . . . . karibu tena uraiani?

Ile Mutu yako "Mwanamuke ya Kushangaza" ipo wapi siku hizi?

mmmhhhhh nisiseme tu si unajua tena "Name calling"
Nisije kupelekwa Lumande tena teh teh teh teh lol..

Ile mutu yangu "mwanamuke ya alimasi" iko sana tu.
yeye jana kuwa hapa, pia leo kuwa hapa. wewe potea sana bana ..
 
Hao ni mashetani waliotumwa kuteketeza kizazi cha mungu
 
She is very normal! Hana utofauti na wanawake wengine kabisa. Yupo kawaida tu.
 
Duu!! I wonder if God is a woman, she is so dam.n fine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…