Kwa wasiojua, Black Friday ni ile Ijumaa baada ya sikukuu ya Thanksgiving ambapo maduka mengi sana huwa na mapunguzo makubwa ya bei ya bidhaa mbalimbali.
Watu hukita kambi huko madukani hata siku mbili kabla ya hiyo Black Friday ili kuweza kuwa wa kwanza kuingia ndani na kuwahi kujipatia bidhaa wanazotaka kununua.
Sasa mara nyingi huwa kuna vurugu mno na hii video ni moja ya hizo vurugu zilizotokea huko Modesto, California.
[HASHTAG]#nauzadagaa[/HASHTAG] wa Thanksgiving. Wanafaa sana kusukumia matonge ya Konyagi.
Konyagi bila mlo unaumbuka, utajijuta unaivua mask yako ya kondoo na kubaki na sura yako halisi ya chui.