Habari wanajamii wenzangu, ningependa kufahamu, je kuna group lolote kupitia BBM linaendeshwa na JAMII FORUM katika kutoa mada tofauti tofauti!? Naomba mnijuze, asanteni.