Black Americans na Kubaka

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,491
41,904
Hivi jamani inakuwaje Marekani black wengi wakifanikiwa lazina wapewe Kesi za Kubaka?? Kama ni hela mbona whites pia wana hela lakini hawapewi hizo kesi?? Alafu mpaka documentary za kuwachafua blacks zinatengenezaa.. R kelly kapewa kesi..Chriss brown nae ana kesi.. Michael Jackson alipewa kesi... Watu wengi kibao wanapewa za kubaka huko Marekani nadhani kwenyr hili kuna UBAGUZI NA UDHALILISHAJI WA ASILI YA MWAFRIKA... Figisu zipo kila konaa aisee bongo unapigwa uraia mbele ni kubaka tuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona whites sijasikia wakipewa kesi???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila MTU atahukumiwa kwa matendo yake siku wakitoka ambao wamefanyiwa huo ukatili Na whites watahukumiwa tatizo tumekuwa victim wa mifumo ya maisha ambayo tumeishi zamani sasa hivi ukiona MTU mweusi mwenzako amehukumiwa kwa upuzi aliufanya badala ya kuangalia kosa lake unaangalia color hii kadhia tunatakiwa tuiache sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo vihi mkuu. Mara ngingi hawa blacks wanatokea kwenye jamii masikini so wanapoanza kupata fame na dough huanza kupata fanbase na humo hata whites wapo.

Kama ujuavyo mambo ya wanamuziki hawa hasa wakiume fans wao wengi ni wasichana/wanawake na wengi ni underage. Hivyo wengine huweza kutafuta opportunity ya kukutana na idol wao na wanapofanikiwa kukutana mitego na nini (inajua tena sisi wanaume hisia zetu hazinaga akili).

Mwisho wa siku unakuta mtu amebanjua underage, hata akama alibakiza weeks kutimiza umri wa utu uzima. Mara nyingi pia inawezekana ni kazi ya rivals au familia masikini wanao spot potential ya kukulostisha au kupiga pesa kwa mgongo wako. Wanakupandikizia underage. Unajiachia nae hata kwa miaka alafu baadae anakuja ku come out na kufungua mashtaka ya statutory rape.

Sexual activity na minors (age 12-16 years) hata kama alikubaliana na wewe hiyo ni statutory rape kwasababu anakua bado hajafikia age of consent.
 
Mara nyingi kubaka kunaongelewa hapa siyo kubaka tunaokujua sisi. Unatoka na binti, dinner mnapiga fresh na anaingia geto na anachojoa vizuri tu. Halafu anakwambia tupige story tu hakuna ku do.

Sasa wewe kama mwanaume unajua labda ni aibu au mambo ya nataka sitaki za wadada. Unatumia nguvu kidogo unakula mzigo. Hapo mdada ana change na kusema ume baka
 
Hivi jamani inakuwaje Marekani black wengi wakifanikiwa lazina wapewe Kesi za Kubaka?? Kama ni hela mbona whites pia wana hela lakini hawapewi hizo kesi?? Alafu mpaka documentary za kuwachafua blacks zinatengenezaa.. R kelly kapewa kesi..Chriss brown nae ana kesi.. Michael Jackson alipewa kesi... Watu wengi kibao wanapewa za kubaka huko Marekani nadhani kwenyr hili kuna UBAGUZI NA UDHALILISHAJI WA ASILI YA MWAFRIKA... Figisu zipo kila konaa aisee bongo unapigwa uraia mbele ni kubaka tuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
DUU!!! KWELI WEWE UPO NYUMA YA DUNIA. HUJUI KAMA WANGEKUWA WAARABU WANAPEWA KESI ZA UGAIDI.
ILA TUACHE KUWATETEA KWA KUWA WEUSI WENGI HATUJUI MAISHA YAO BINAFSI NJE YA MUSIC. NASA, CIA, FBI KUNA BLACK AMERICA WENGI SANA.
 
Ipo vihi mkuu. Mara ngingi hawa blacks wanatokea kwenye jamii masikini so wanapoanza kupata fame na dough huanza kupata fanbase na humo hata whites wapo.

Kama ujuavyo mambo ya wanamuziki hawa hasa wakiume fans wao wengi ni wasichana/wanawake na wengi ni underage. Hivyo wengine huweza kutafuta opportunity ya kukutana na idol wao na wanapofanikiwa kukutana mitego na nini (inajua tena sisi wanaume hisia zetu hazinaga akili).

Mwisho wa siku unakuta mtu amebanjua underage, hata akama alibakiza weeks kutimiza umri wa utu uzima. Mara nyingi pia inawezekana ni kazi ya rivals au familia masikini wanao spot potential ya kukulostisha au kupiga pesa kwa mgongo wako. Wanakupandikizia underage. Unajiachia nae hata kwa miaka alafu baadae anakuja ku come out na kufungua mashtaka ya statutory rape.

Sexual activity na minors (age 12-16 years) hata kama alikubaliana na wewe hiyo ni statutory rape kwasababu anakua bado hajafikia age of consent.
Very True,,no addition on that,,
 
Back
Top Bottom