Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,383
Jana wakati natoka Bukoba mjini kuelekea Nyaishozi nilikutana na vijana wakiwa uchi huku wakishangiliwa na kina Mama pamoja na wasichana. Kwenu wakazi wa Kagera, hii ni jadi gani?
View attachment 151166

Anadai jana.Huyu kweli mtanzania.Hii picha ilishatoka humu JF na heading nyingine, sasa wewe ya kagera umeyatoa wapi? Una lako jambo!
Na kweli mtanzania!Anadai jana.Huyu kweli mtanzania.
Jana wakati natoka Bukoba mjini kuelekea Nyaishozi nilikutana na vijana wakiwa uchi huku wakishangiliwa na kina Mama pamoja na wasichana. Kwenu wakazi wa Kagera, hii ni jadi gani?
View attachment 151166
Jana wakati natoka Bukoba mjini kuelekea Nyaishozi nilikutana na vijana wakiwa uchi huku wakishangiliwa na kina Mama pamoja na wasichana. Kwenu wakazi wa Kagera, hii ni jadi gani?
View attachment 151166
Nyati mbona umekuwa mkali hivyo, au na wewe upo kwenye hao machalii?Ficha upumbavu wako, wacha ku-copy picha za miaka mingi toka facebook halafu wajifanya umepiga wewe na hadithi za uongo kabisa. Wee utakuwa na minyoo kwenye ubongo si bure.
Jana wakati natoka Bukoba mjini kuelekea Nyaishozi nilikutana na vijana wakiwa uchi huku wakishangiliwa na kina Mama pamoja na wasichana. Kwenu wakazi wa Kagera, hii ni jadi gani?
View attachment 151166
Kutoka kushoto kwa mtazamaji, hao wawili wa mwanzo watakuja kuwa ( au washakuwa) wanaume wa ukweli, watatu na watano hao sio riziki kabisa, hebu cheki jinsi walivyobidua hizo assets zao kama vile wanasema njoo uonje.
NI MTAZAMO TU