Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 445
Ni kwamba badala ya sisi kuzitawala raslimali zetu kwa faida yetu badala yake raslimali zetu zimekua ni adhabu na mateso kwetu .Mkuu mm ubongo haujanyumbulika, hii picha unamaana gani?
Bitter truth...!!!Pipa limejaa dhahabu, na kuni zinazotumika kuyeyusha hiyo dhahabu ni watu (Africans?!).
Mkuu mm ubongo haujanyumbulika, hii picha unamaana gani?
duh, huu msemo wako umeniacha hoiTuna viongo ziii
In African point of viewPindi tutakapoacha hii...cc Maskini_Jeuri