Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,681
- 3,065
Wakemia aliyeelewa hii “Amfifiro” ya Bishop Gwajima atuelemishe hii sabuni yenye compound ndani ya chemical ya Amfifiro ni ipi.
Wakemia Alielewa hii Amfifiro ya Bishop Gwajima atuelemishe hii sabuni yenye compound ndani ya chemical ya Amfifiro..
View attachment 1411662
Wakemia Alielewa hii Amfifiro ya Bishop Gwajima atuelemishe hii sabuni yenye compound ndani ya chemical ya Amfifiro.
View attachment 1411662
Mimi pia ila kaniomgezea kumchukia na kutomwamini alipoanza kuhubiri ukabila na udini. Nasikia anakikundi kanisani kwa ajili ya kumtetea raisHuyu Mzee wa kwichi kwichi tangu aachie ile video yake pendwa simuamini kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni km mimi mkuu,yaani hakuna mtu ninamdiss km yule njemba.Mimi pia ila kaniomgezea kumchukia na kutomwamini alipoanza kuhubiri ukabila na udini. Nasikia anakikundi kanisani kwa ajili ya kumtetea rais
Jitu la hovyo sn ila watu km hao ndo meko anawahitaji kwenye system nasikia kwa Sasa ni mtu wa tiss
Ni ishu ya muda tu,atatamba sasa hivi lkn muda utaisha ataingia kiongozi mwingine aka Farao mwingine asiyemjua hivyo ataendelea kuwa na kibarua cha kujipendekeza.Jitu la hovyo sn ila watu km hao ndo meko anawahitaji kwenye system nasikia kwa Sasa ni mtu wa tiss