utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 324
<br />karibu sana mkuu. Lah! ila jina lako ni zito kwelikweli.
<br /><br />welcome to ze weldi mdau! hapa ni kisima cha fikra. karibu saana!!!
<br />Dah, karibu mkuu. Tunayasubiri kwa hamu mawazo yako.