Bishara ya mahidi

Michael Ryuba

Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
20
Reaction score
5
Jamani ndugu, naomba kwa anayejua kuhusu biashara ya mahidi kuanzia mtaji wake hadi soko.
 
Boresha swali lako,wataalam wa shamba na mapori watakupa msaada....Mkuu Malila & co...
 
Jinsi unavyokuwa mfupi kuwasilisha hoja na wadau nao wanakuwa wafupi kuelekeza nguvu zao kukujibu hivyo PANUA mawazo yako ili kila mtu aingie ndio utaona raha ya uzi wako
 
Jinsi unavyokuwa mfupi kuwasilisha hoja na wadau nao wanakuwa wafupi kuelekeza nguvu zao kukujibu hivyo PANUA mawazo yako ili kila mtu aingie ndio utaona raha ya uzi wako

Na akipanua ndivyo watu wanazidi kutamani mkuu. Ushauri mzuri. Swali lake too general mtu hujui hata pa kuanzia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…