bishanga niko arusha.....

bishanga niko arusha.....

Hahaha Bishangaaaaaa umekunywa nini? Cocktail ya tangafresh na kiroba orijino??
 
Last edited by a moderator:
Karibu huku ilboru lodge ukate hangover kwa ubaridi halisi
 
Kudadadadeki Kuna ka bar kanaitwa Narok pub mkabala na arusha techk nimeutwika niko chicha haiwahuu nasema haiwuu kwani bishanga kulewa ndo nini ,nawambia hivi niko chicha. ....tena msinisumbuwe ..tena we Paloma mi nshalewa ujue.....halafu we Madame B ujue nakumaindi .. Na wee Husninyo inahisuu? Niko chichaaaaaa....avracadavraaaaa na mnukome... Zion Daughter nna ham na wewe... The secretary naomba tuonane I love you.....
Kweli umefilisika mie nilikuwa siamini aisee.Toka Serena/Kempisk mpka Narok???? Dadadadadekiiii.Njoo nikukopeshe Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Kudadadadeki Kuna ka bar kanaitwa Narok pub mkabala na arusha techk nimeutwika niko chicha haiwahuu nasema haiwuu kwani bishanga kulewa ndo nini ,nawambia hivi niko chicha. ....tena msinisumbuwe ..tena we Paloma mi nshalewa ujue.....halafu we Madame B ujue nakumaindi .. Na wee Husninyo inahisuu? Niko chichaaaaaa....avracadavraaaaa na mnukome... Zion Daughter nna ham na wewe... The secretary naomba tuonane I love you.....

Hakika upo chichaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom