bishanga niko arusha.....

bishanga niko arusha.....

mwambie kabisaaa maana amezidi. lol. x nakumiso ujue.

Hunizidi mie! Usinitupe moja kwa moja bwanaa!
Afu hongera kwa kuingia Jf very lukwili ! Huo ni muda unafanana na wa mwenye kwenda kung'oa jino.
 
Mtake radhi baba mkwe wako mtarajiwa

daaaah maza mbona unachonga sana jamaniiiiiii!!!! mie nilikuwa nashangaa kwanini dingi kanitaja kwenye ulevi. au sijui ameshapata cha arusha?!?!!?!:majani7::majani7::majani7:

kisses to bebi gelo!!!
 
dadi usinisahau kuniletea na mimi ile ya jana

Kudadadadeki Kuna ka bar kanaitwa Narok pub mkabala na arusha techk nimeutwika niko chicha haiwahuu nasema haiwuu kwani bishanga kulewa ndo nini ,nawambia hivi niko chicha. ....tena msinisumbuwe ..tena we Paloma mi nshalewa ujue.....halafu we Madame B ujue nakumaindi .. Na wee Husninyo inahisuu? Niko chichaaaaaa....avracadavraaaaa na mnukome... Zion Daughter nna ham na wewe... The secretary naomba tuonane I love you.....
 
Bebe Paloma mambo niaje niaje

daaaah maza mbona unachonga sana jamaniiiiiii!!!! mie nilikuwa nashangaa kwanini dingi kanitaja kwenye ulevi. au sijui ameshapata cha arusha?!?!!?!:majani7::majani7::majani7:

kisses to bebi gelo!!!
 
Last edited by a moderator:
Ukimaliza amia tripple A ni karibu na hapo ila usithubutu kutembea on foot maana ukikutana na watoto wa mbwa huenda usiione kesho ndugu,nakusihi kuwa makini na hiyo mitaa

Taratibu na mimi napata somo hapa kabla ya kutia timu huko soon.
 
Erickb52 mpatie signature yako Bishanga atumie tu kwa wakati huu.

Bby haka kajamaa nimekapeleka Narok pub kanaanza kutongoza wake za watu lol
kidogo alete balaa aisee
Bishanga akinywa hajitambui ila nimefurahi kukaona ila kamefulia mbaya ila kanajiita bepali la kihaya....kwikwi
Alikuwa anacheza then wanampa bia hahaaa
 
unataka tu niseme neno na sisemi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom