Habari wana jamvi wote....
Leo ni siku ya kumbukizi za kuzaliwa kwangu.
Nyinyi kama ndugu na rafiki zangu nawaalika kushiriki nami kwa sala au/na pongezi.
Nazima mshumaa wa 29 Leo.
Amani , Furaha , upendo na mafanikio viwe nanyi daima.
Happy birthday Payer!!!!