Birthday ya taifa iwe kila siku..

denim kagaika

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
228
31
Nashukuru kwa hii miaka 50 ya uhuru kwani imeleta baraka ya umeme na mgao wa mara kwa mara umepotea.
Kama vipi Tanzania uwe kama wanachuo ambao husogeza birthday zao ili na wao wafanye sherehe na kupata michango kabla ya likizo hazijatibua mipango.
Mpendwa Tanzania naomba uzaliwe kila siku kwa kuwa najua watatuonea aibu hata huku pande za MBAGALA.
Masikini watanzania tunaanza kwa malalamiko makubwa lakini baada ya muda mfupi tunazikubali shida na kuona ni sehemu ya kawaida ya maisha.

Hbd Tanzania..
 
Back
Top Bottom