Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Happy birthday too Mndengereko. Mungu akujalie baraka zake akupe heri na amani na akutimizie ndoto zako na mipango yako. Happy birthday once again mkuu
Happy Birthday Mndengereko.
Japo umeficha umri wako lakini sisi ni wakubwa zako na yakupasa utupe shikamoo.
Hvi Binamu umekaguliwa?
Mwisho leo ujue.
Mkaguzi nani.??na vp vigezo??
Na mimi nataka nikaguliwe!!!
Sijaficha jamani si atleast nimeweka range ya miaka yangu hapo,mimi hata cjui una miaka mingapi weye ila kwa sababu nimezaliwa leo kila mtu ni mkubwa kwangu,shikamoo mama!!
Hvi Binamu umekaguliwa?
Mwisho leo ujue.