Birthday inataka kuvunja uchumba

hebu mute kidogo uone kama hajakufata, mademu wengine kwa kutingisha vibiriti bana. khaaa!
 
mweleze ulichofuata kilikua kina manufaa kwa wote coz usingeenda ingekula kwenu
 
Nafikiri ni haki yake kudai yale uliyomzoesha. Kwanza ulimpa hela (changia ili besidei ifanyike), nionacho mimi wewe ulitimuka bila kuaga. Katika hali ya kawaida hakuna mtu anaweza kulazimisha uwepo wako sehemu bila kuwa karibu na wewe.Smoke it.
 
Namuomba msamaha hanielewi. Nifanyaje jamani na mie nampenda, na nilishamtambulisha hadi kwetu?

Unapenda majanga wewe Mkami Lum!!!!!!!!!!!!!!!

Utakufa kwa kihoro,
Piga chini fasta sepa
Dalili ya mvua mawingu

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
mfafanulie maana ya emergency, may be hafahamu maana ya emergency/dharura
 
Ama kweli wagonjwa wengi heb kampime akili huyo mpenzi wako,kwa hiyo wewe limekuumiza kichwa mpaka unaomba ushauri na bado haujaingia kwenye hiyo ndoa sasa ukiingia ukakutana na na makubwa si utajaza sired za ushauri humu jamani!
 
uvulana kazi ,,,, kila kitu kwako inakuwa kuomba msaada tu jf ...........
 

Nenda kaonane naye ana kwa ana, kisha mkumbatie, m-busu na kumuomba msamaha kwa kumpa sababu za msingi za kushindwa kufika, atakuelewa, hayo ma-sms na calls zinakupotezea muda!
 
Mawasiliano ni kitu muhimu sana kwa wapendanao. Ungempigia simu kwa dakika 5 tu ili kumjulisha kwamba umepata safari ya ghafla hivyo hutaweza kuhudhuria hiyo BP ya mpenzi wako basi angekuelewa na kukutakia safari njema. Sasa wote wawili mioyo yenu inateseka kwa mawasiliano yenu kuwa tata. Hili ni fundisho kubwa kwako siku nyingine ukiwa na dharura kumbuka kuaga kabla ya kuanza safari. Kila la heri katika kuomba samahani.



 
Last edited by a moderator:
taarifa ni muhim sana,kama hukumpa taarifa bas kawaza mengine,go direct to him or her maana cjajua wew ni ke au me but nahisi ni me,nenda ongea nae mpe fact kwanin hukutokelezea ohooo
 
Wote mnahitaji ku-mature

Birthday kitu gani bwana
Hamna haja ya kukua..mmeshakua kinachoendelea hapo ni hivi uyo dada anakupenda sana na wewe kuwepo kwenye bday yake angefarijika sana hujui jinsi gani alivyoboreka bila wewe kuwepo.ukiona kanuna ujue amechukia mbembeleze bana kwani hujui sisi hua tunadeka..kwenye mapenz hakuna kumature kama ingekua hivo watu wasingeona wivu.bday inaeza ikawa sio muhimu kwako ila inategemea na mazingira uliyolelewa kama hujawahi kufanya bday unazani utaithamini siku yako ya kuzaliwa? Muache mwenzio aifurahie.
 
Ingekuwa ni mimi ningempiga Ban la kunipigia simu na sms zake za lawama naziblock....
Usikute Chalii alienda nje ya mji kusaka Chapaa halafu mtu anaanza tu kumlaumu.
Hizi show off's zinatugharimu sana vijana, Damn...

Huyo dawa yake na wewe kasirika halafu hamishia msala kwake muda c mrefu attanza yeye kukubembelza...na kwa kuanzia kama unaweza potea hewani kwa muda hasa nyakati za jioni pia message zake usijibu kama itatokea ukawa hewani.... in short you can creat...."ARTIFICIAL SCARCITY" halafu uone inakuwaje!
 
Heh!
Kweli kila shetani na mbuyu wake! Yaani paw akisahau besdei yangu ama akaikosa bila sababu maalumu na kujikausha kuisogeza mbele! Anajua hapati unyumba mwezi mzima!
Wote mnahitaji ku-mature

Birthday kitu gani bwana
 
Heh!
Kweli kila shetani na mbuyu wake! Yaani paw akisahau besdei yangu ama akaikosa bila sababu maalumu na kujikausha kuisogeza mbele! Anajua hapati unyumba mwezi mzima!

Ukimnyima Unyumba akiamua kwenda kutafuta Ukibanda mahali ingine utamlaumu?
 

Msamaha umeomba wa nini??? cha kwanza kabsa jifunze kuacha kuwa unaomba msamaha kwa mambo ya kijinga...... huyo mpenz wako hana akili. Hata mkishasolve hili bado utapata tabu sana kuishi na mtu wa aina hii.
 
Kwa nini nimlaumu? Nikiona hanitoshelezi si na mie natafuta servant quarter. Tena serengeti boy ama mstaafu, kila saa anawaza besdei yangu! Maisha ya mjini marahisi sana, stop complicating things. Kama suluhisho la uhusiano wenu ni vibanda, mnaanzisha real estate kabisa kwa afya!
Ukimnyima Unyumba akiamua kwenda kutafuta Ukibanda mahali ingine utamlaumu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…