Wote mnahitaji ku-mature
Birthday kitu gani bwana
Ingekuwa ni mimi ningempiga Ban la kunipigia simu na sms zake za lawama naziblock....
Usikute Chalii alienda nje ya mji kusaka Chapaa halafu mtu anaanza tu kumlaumu.
Hizi show off's zinatugharimu sana vijana, Damn...
Ulimjulisha kama hutoweza kuhudhuria kwenye sherehe umepatwa na dharura ya kwenda nje ya mji?Kama ulifanya hivo sidhani kama kuna tatizo lakini kama hukufanya hayo hilo ndo kosa lako....Hi wana Jf,
Wikiend yangu nimeimaliza vibaya kisa birthday.
Jana mpenzi wangu alikua anatimiza miaka kadhaa, alinialika na nilimpa kiasi fulani kwa ajili ya kaji-pat hako. Lakini kwa bahati mbaya, nikapata emergence ya kwenda nje kidogo ya mji iliyonifanya nirudi usiku. Kilichotokea sasa, mchumba angu kanuna na hataki kupokea simu, anani sms tu tena kwa lawama hadi najisikia vibaya. Namuomba msamaha hanielewi. Nifanyaje jamani na mie nampenda, na nilishamtambulisha hadi kwetu?
yani kutohudhuria b'day party
ndio kuvunje uchumba?makubwaaaaaz!!
Hakukuwa na uchumba to start with.
Ila kama mke kakulia masechusati afu huyu naye katokea Charambe watakuwa na kazi sana.