GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
Mimi binafsi niliyokula Zanzibar Nungwi sikuipenda. Ila ijumaa moja nilikula biryani Mish Cafe Temeke, ilikuwa poa sana.Sikuwa nakifahamu! Lakini miaka michache baada ya kusikia kikielezewa, nilifanikiwa kukila.
Mara yangu ya kwanza kuila ilikuwa ni Jumatatu, 28/06/2021, Zanzibar, kwenye mghahawa uitwao ZANZI BBQ. Mghahawa upo pembezoni mwa barabara inayoelekea Airport. Nafikiri unamilikiwa na Mhindi.
Lakini baada ya kurudi Tanganyika, imekuwa ni nadra sana kukipata hicho chakula kwenye mighahawa ya kawaida.
Mghahawa pekee ninaoufahamu
Mwanza unakoweza kupata Biriyani ni Baraka Cafe iliyopo maeneo ya Natta jijini Mwanza. Changamoto yake ni kwamba siku pekee ya kuweza kupata hicho chakula hapo Baraka Cafe ni Ijumaa.
Tokea mwaka 2021, nimeshakula Biriyani mara kadhaa. Ni kizuri. Ni kitamu. Japo niliyoila Zanzibar, kwa mujibu wa mtazamo wangu, ni nzuri zaidi kuliko niliyoila hapa Tanganyika. Hata hivyo, ni nzuri kuliko pilau.
Ni kwa nini chakula kizuri kama
hicho ni nadra kupatikana?
Kwa nini baadhi ya mighahawa Biriyani hupatikana siku ya Ijumaa pekee?
Ni mtamu! Ni kama pacha wa pilau lakini siyo pilau.Sijawahi kuelewa huo wali wa marangi rangi,biriani iko overrated
Umeshaila mkuu? Ni tamu aisee! Sema Sasa watu tunatofautiana katika mwitikio wa ladha.Overrated food, hakuna kitu
Ukosefu wako wa pesa mfukoni..... Ndio unaokufanya uone biriani ni chakula adimu kwako!!!Sikuwa nakifahamu! Lakini miaka michache baada ya kusikia kikielezewa, nilifanikiwa kukila.
Mara yangu ya kwanza kuila ilikuwa ni Jumatatu, 28/06/2021, Zanzibar, kwenye mghahawa uitwao ZANZI BBQ. Mghahawa upo pembezoni mwa barabara inayoelekea Airport. Nafikiri unamilikiwa na Mhindi.
Lakini baada ya kurudi Tanganyika, imekuwa ni nadra sana kukipata hicho chakula kwenye mighahawa ya kawaida.
Mghahawa pekee ninaoufahamu
Mwanza unakoweza kupata Biriyani ni Baraka Cafe iliyopo maeneo ya Natta jijini Mwanza. Changamoto yake ni kwamba siku pekee ya kuweza kupata hicho chakula hapo Baraka Cafe ni Ijumaa.
Tokea mwaka 2021, nimeshakula Biriyani mara kadhaa. Ni kizuri. Ni kitamu. Japo niliyoila Zanzibar, kwa mujibu wa mtazamo wangu, ni nzuri zaidi kuliko niliyoila hapa Tanganyika. Hata hivyo, ni nzuri kuliko pilau.
Ni kwa nini chakula kizuri kama
hicho ni nadra kupatikana?
Kwa nini baadhi ya mighahawa Biriyani hupatikana siku ya Ijumaa pekee?
Biryani ni chakula expensive kukiandaa, ndio maana kwa wanaojaribu kupika ni lazima waweke siku maalum ya biryani ili wasipate hasara .Sikuwa nakifahamu! Lakini miaka michache baada ya kusikia kikielezewa, nilifanikiwa kukila.
Mara yangu ya kwanza kuila ilikuwa ni Jumatatu, 28/06/2021, Zanzibar, kwenye mghahawa uitwao ZANZI BBQ. Mghahawa upo pembezoni mwa barabara inayoelekea Airport. Nafikiri unamilikiwa na Mhindi.
Lakini baada ya kurudi Tanganyika, imekuwa ni nadra sana kukipata hicho chakula kwenye mighahawa ya kawaida.
Mghahawa pekee ninaoufahamu
Mwanza unakoweza kupata Biriyani ni Baraka Cafe iliyopo maeneo ya Natta jijini Mwanza. Changamoto yake ni kwamba siku pekee ya kuweza kupata hicho chakula hapo Baraka Cafe ni Ijumaa.
Tokea mwaka 2021, nimeshakula Biriyani mara kadhaa. Ni kizuri. Ni kitamu. Japo niliyoila Zanzibar, kwa mujibu wa mtazamo wangu, ni nzuri zaidi kuliko niliyoila hapa Tanganyika. Hata hivyo, ni nzuri kuliko pilau.
Ni kwa nini chakula kizuri kama
hicho ni nadra kupatikana?
Kwa nini baadhi ya mighahawa Biriyani hupatikana siku ya Ijumaa pekee?
kuna kautamaduni kamewekwa na migahawa na watu wengi kuwa ijumaa ndio biriani day. Ila kuna yule jamaa mudi biriani, nadhani ni biashara yake kuu so anauza Monday to Monday, ingawa sijawahi kula kwake so, sina uhakika na ladha ya chakula chakeBiryani ni chakula expensive kukiandaa, ndio maana kwa wanaojaribu kupika ni lazima waweke siku maalum ya biryani ili wasipate hasara .
Ila kwa mjini hapa biryani ukilitaka ni siku yoyote ile unapata.
kuna kautamaduni kamewekwa na migahawa na watu wengi kuwa ijumaa ndio biriani day. Ila kuna yule jamaa mudi biriani, nadhani ni biashara yake kuu so anauza Monday to Monday, ingawa sijawahi kula kwake so, sina uhakika na ladha ya chakula chake
Ila mkuu kuna biriani halina viungo vingi, sijawahi kukutana nalo maana mchuzi siku zote ni mzito kiasi ukiongezea maji ya kutosha bad unaweza pata rosti ya kulia ugali πHuyo alijifanya niichukie biriani,chakula kina maviungo hadi kero.
Sikuwa nakifahamu! Lakini miaka michache baada ya kusikia kikielezewa, nilifanikiwa kukila.