Pamoja sana dada yangu
Unanifanya nijisikie hamu ya kula hiyo biriani wakati nimesha kula usiku huu Wali kwa mchuzi wa kuku na mboga ya mchicha asante mama mkwe farkhina ngojea niwakaribishe marafiki zangu watatu Mkuu utafiti njoo ule biriani Mkuu BAK unakaribishwa mama mkwe wangu kula biriani kaka Globu njoo unisaidie kula biriani nimealikwa kula biriani na imenishinda hahahah
Unanifanya nijisikie hamua ya kulahiyo biriani wakati nimesha kula usiku huu Wali kwa mchuzi wa kuku na mboga ya mchicha asante mama mkwe farkhina ngojea nimkaribishe marafikizangu watatu Mkuu.@ utafiti njoo ulebiranina Mkuu BAK unakaribishwa mama mkwe wangu kulabirianikaka Globu njoo unisaidie kula biriani nimealikwa kula imenishinda hahahah
Ipi nzuri kutumia - fish fillet au samaki mwenye mifupa yake?
Unanifanya nijisikie hamu ya kula hiyo biriani wakati nimesha kula usiku huu Wali kwa mchuzi wa kuku na mboga ya mchicha asante mama mkwe farkhina ngojea niwakaribishe marafiki zangu watatu Mkuu utafiti njoo ule biriani Mkuu BAK unakaribishwa mama mkwe wangu kula biriani kaka Globu njoo unisaidie kula biriani nimealikwa kula biriani na imenishinda hahahah
Shukrani Mkuu MziziMkavu sijawahi kula biriyani ya samaki wala pilau ya samaki, machoni inavutia bila shaka mdomoni pia itakuwa tamu sana.
Yeah ni tamu sana kuliko biriani ya nyama au Kuku
I am on my way lol! 😛lane:
Karibu sana
Ahsante sana Mama wa mapishi matamu sana hapa jamvini.
Ahsante kwa kuniita sisy..ila hii kuiandaa nahisi kama itanishinda...ntamforwadia wifi yako ajifunze
Shosti wewe kwakupika, mashallah ... Nataka kujua wapi Wanauza vipopo unguja?
Shukran jaan. Naitamanije hii kitu. Ila mm napenda ya nyama zaidi ila hapa Angel Nylon atanyanyuka na sahani lol..