Biospetic co.ltd wataalamu wa system za choo za kisasa

Biospetic co.ltd wataalamu wa system za choo za kisasa

shivo01

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
89
Reaction score
143
Bioseptic Co.ltd tunajenga system za choo ambazo hazijai,hazichukui nafasi kubwa,hazina harufu,ni nzuri kwa mazingira pia,pia INA guarantee ya miaka mitano,tuna system tofauti za familia hisiyozidi watu 20 ni million 3 complete.pia tuna system za shule,apartments,hospitali,maofisi na magorofa kwa maelezo zaidi call 0682537860 kupata huduma zetu
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    92 KB · Views: 39
  • image.jpeg
    image.jpeg
    154.9 KB · Views: 36
  • image.jpeg
    image.jpeg
    55.6 KB · Views: 37
  • image.jpeg
    image.jpeg
    89.6 KB · Views: 37
  • image.jpeg
    image.jpeg
    67.9 KB · Views: 35
  • image.jpeg
    image.jpeg
    94.8 KB · Views: 40
  • image.jpeg
    image.jpeg
    90.8 KB · Views: 36
  • image.jpeg
    image.jpeg
    183.6 KB · Views: 40
  • image.jpeg
    image.jpeg
    102.5 KB · Views: 38
  • image.jpeg
    image.jpeg
    98.3 KB · Views: 38
Karibuni TANZANIA SEPTIC SOLUTIONS tuwapatie ushauri na kuwajengea mfumo wa choo wa kisasa ambao hautajaa katika kipindi chote cha matumizi yako...tupigie au whatsap namba 0715995106 au 0682537860 kwa maelezo zaidi tuje tutembelee site yako kwa gharama zetu ndani ya Dar es salaam.
1. Shimo halijai katika kipindi chote cha matumizi yako
2. Ni sehemu ndogo sana ya eneo lako inatumika kwa kuwa huwa tunachimba mita moja tu kwenda chini na upana unakua mita moja
3. Hufanya kazi vyema hata kama kuna chemichemi au water table ikiwa juu sana
4. Kuna guarantee ya miaka 5
5. Haina harufu wala hayana wadudu
6. Haichagui aina ya udongo,udongo aina zote inafanya kazi
7. Yapo ya size tofauti kulingana na idadi ya watumiaji wa eneo husika mf. familia, shule n.k.
Tupigie au whatsap namba 0715995106 au 0682537860 kwa maelezo zaidi tuje tutembelee site yako kwa gharama zetu ndani ya Dar es salaam.
 

Attachments

  • IMG_20190106_163445_924.jpg
    IMG_20190106_163445_924.jpg
    80.8 KB · Views: 53
Back
Top Bottom