Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Kama Bw.Lowasa akifanikiwa kweli kukisambaratisha Chama na nchi kwa ujumla basi nitaamini kabisa ile Imani iliyojengwa na Dunia nje ya Bara la Afrika ya kwamba sisi watu wa Afrika (kusini mwa Sahara) tuna IQ ndogo sana kulingansiha na wengine .
(rejea maneno ya J.Watson Biochemist) kwa maana ukimuangalia Bw.Lowasa huyu ni simple mind tu, amesomea sanaa Chuo kikuu cha DSM na vikozi vya kuunga unga huko Uingereza hivyo anawezaje hata kuwa na uwezo wa kuitetemesha nchi wakati hata hayupo kwenye madaraka (kama ni kweli yanayosemwa kama siyo propaganda tu)?
Nasubiri kwa hamu hili linalosemwa kutokea, bado siamini ya kwamba mtu mmoja Bw.lowasa anaweza kuiangusha hii nchi, nchi iliyotoka mbali na kufika mbali kwamba inaweza tu kuja kutetemeshwa na mwana sanaa mmoja kutoka Kishumundu, kama Lowassa angekuwa A.Babu hapo ningeelewa au Salim A.Salim au hata Kambona (,,Apumzike kwa Amani")