Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,275
- 33,878
It had to be. Kasomeshwa na wakatoliki St Joseph. πππHuwa sichoki kusoma chochote unachoandika,inaonekana Una akili nyingi Sana toka utotoni,
Red...Shikamoo Mzee Mohamed Said,nimeusoma huu Uzi mvua ikinyesha..Huwa sichoki kusoma chochote unachoandika,inaonekana Una akili nyingi Sana toka utotoni,ukabahatika na kubahatika kuona mengi na kufanya mengi katika tasnia ya uandishi,nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukupa Maisha marefu yenye fanaka.Iko siku nitakutembelea ishaallahπ
Gagnija,It had to be. Kasomeshwa na wakatoliki St Joseph. πππ
Naunga mkono hoja.Shikamoo Mzee Mohamed Said,nimeusoma huu Uzi mvua ikinyesha..Huwa sichoki kusoma chochote unachoandika,inaonekana Una akili nyingi Sana toka utotoni,ukabahatika na kubahatika kuona mengi na kufanya mengi katika tasnia ya uandishi,nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukupa Maisha marefu yenye fanaka.Iko siku nitakutembelea ishaallahπ
Aisee Safi Sana,sikuwahi kujua maana yakez,Ila me red label kumradhi inamaanisha kinywaji changu pendwa though Kwa kiwango kidogo.Shukrani Mzee wangu tuko pamoja...Red...
Marahaba,
Ahsante karibu sana.
NImeangalia ID yako Red Label.
HMV walikuwa wanatengeneza santuri na wakaziweka katika category ya red na blue kutofautisha aina ya muziki.
Muziki kutoka Ulaya ilikuwa Red Label na ya Africa ikitolewa katika Blue Label.
Mna...Kwanini ukasome shule kikafiri kwa mtu kama wewe ambae kabla ulishaenda madrasa na ukafundishwa kuwa" hakika hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mufuate mila yao?
Inakuwaje wewe ni muislamu halafu unaingia kanisani?Mna...
Mbona unaandika maneno yasiyopendeza?
Andika kiungwana nitakujibu swali lako In Shaa Allah.
Mna...Inakuwaje wewe ni muislamu halafu unaingia kanisani?
Dr.imenichukua muda sana ila sijaokota kitu mzee wangu
Inafaa kufanya hivyo?Mna...
Pale kanisani kulikuwa na shule ya chekechea nilipelekwa kusoma.
Post #5 umeandika Lutheran primary school ulianza darasa la kwanza 1958, kabla ya hapo ulisoma chekechea Muslim school.Mna...
Pale kanisani kulikuwa na shule ya chekechea nilipelekwa kusoma.
Mna...Inafaa kufanya hivyo?
Gag,Post #5 umeandika Lutheran primary school ulianza darasa la kwanza 1958, kabla ya hapo ulisoma chekechea Muslim school.
Kumbukumbu sahihi ni ipi? Ulisoma chekechea Lutheran school?!
Kumbe π€π€ππGagnija,
Dunia nzima shule za Kikatoliki zinaongoza kwa kusomesha elimu ya sekula.
Nilimesoma kitabu cha maisha ya Benazir Bhuto nimeshangaa kusoma kuwa kasoma St. Joseph's.
Elimu ya msingi nimesomeshwa na Waluteri, Moshi nilipoanza darasa la kwanza 1958.
Hapakuwa na shule tukisoma ndani ya kanisa angalia picha hapo chini.
Lakini kabla ya kwenda Lutheran Primary School nilianzishwa chekechea katika Muslim School.
Lutheran Church Moshi 1989
Lutheran Church Moshi 2020