Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Please ukiipata hiyo anuani share with us,ila lundenga kasema juma4 atakua na press conference kuelezea hili suala,asipomvua taji lazima tutume ripoti miss world
Hahahaha ana miaka chini ya kumi nane ana miaka.....suguuuuu.....mtoto kazaa mtoto dah nna maugwadu mie hahahaha! Tz noumaaaaaa.....hivi mazee TI vipi keshatimba bongo ama?
Please ukiipata hiyo anuani share with us,ila lundenga kasema juma4 atakua na press conference kuelezea hili suala,asipomvua taji lazima tutume ripoti miss world
Best uki google unapata link mwenyewe nitatuma kwakweli this time wamecha kachua mpaka kila mtu kajua kutuletea bibi bomba na kuacha wenye vigezo
muombe mzalendo anayo link
ila just ingia google miss world contact
utapata
Best ngoja nimpe last chance ya hiyo juma4 asiposema cha maana atakoma nakuambia,nitatuma mpaka wajiulize huyu ni nani mwenye uchungu hivi...
Mwenyewe nasubiria kwa hamu afanye fair decision kulinda heshima ya mashindano la sivo lundenga hata pata wadhamini na shindano litakufa mazima
Usijali mamii,namsubiria hiyo juma4 kama atafanya maamuzi magumu au lah
ukute wamekaa kimya wanatengeneza cheti bandia.lakini hata hivyo watashindwa.maanake wanaweza muharibia pia status yake USA migration. yaani safari hii lundenga kachemka.kwani haya mimi nasubiri hiyo conference hakuna cha maana natuma. miss world. tumechoka.yaani mtu akiwa na mtoto tu US likitokea tu tangazo kama BBA au umiss utashangaa anamleta mwanae ashindane hata kama alikua changua au kibaka.ndo maana lundenga alikua anashindwa kutangaza mshindi roho ilikua inamsuta kuwa anamtangaza bibi bomba.ngojea na
Tunakoelekea jf itapigwa ban,ila ntalia sana.
Inaumbuaje watu.
kiukweli mwaka huu miss world TANZANIA lazima tupate division 5
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
kiukweli mwaka huu miss world TANZANIA lazima tupate division 5
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums