Huyu ndo binti yangu jamani ila ana miaka 18 tu. Picha ya kwanza ilikuwa mwaka juzi akiwa na miaka 15 hehehehe hii ya pili ni mwaka juzi pia akiwa na mjukuu wangu. Jamani kakosa nini binti yangu? Tumeenda pale holand kuangalia specimen signature card ni aibu eti benki wamemuongeza miaka 7 hawa 'benki ya ushirika na maendeleo vijijini hawa!'
Akhsante Kwa Kujishaua Na Kujishebedua, Pili Akhsante Kwa Kutuonyesha Jinsi Gani Ulivyo Mwana Chukua Chako Mapema Kwa Unjano, Ukijani, Nyundo Na Jembe, Tatu Napenda Kukupongeza Kwa Kuwa Na Mvuto Wa KUPACHULIWA Na Nne au Mwisho Kujibu Tu Swali Lako Kwakuwa Tayari Bintiyo Amefikisha Umri Huo Na Wewe Unahitaji Msaada NAKUSHAURI na NAKUOMBA Umwagize Aje Kwangu GENTAMYCINE Ili NIZIDI KUMKOMAZA Kwa MIAKA 18 IJAYO. Nasubiri Majibu au Ukiwa Tayari UNAWEZA UKAFANYA Kolabo Nae!
Wabongo ndivyo tulivyo. Tuliwahi kumuweka mchezaji mzee anayechezea Simba kwenye timu ya taifa ya U17 ilipogunduliwa tukanyang'anywa ushindi na kuondolewa mashindanoni. Hakuna aliyewajibishwa. Juzi si umesikia hata kwenye bunge la katiba hata marehemu wamepiga kura? Wengine walikuwa Maca wakimpiga shetani nao kule kumpiga shetani tu ikachukuliwa ni kura ya ndio. Mwingine alikuwa zake nyumbani wala hajashiriki wamemuorodhesha kwenye kura za ndio. Mjumbe toka bara ghafla kawa wa Zanzibar. Sasa kali kuliko zote ni pale unapomsikia mkuu kutoka Magogoni akisema ni tendo la kihistoria! Hata huyo mama nanilino kuwa miss Tanganyika ni tukio la kihistoria. Wabongo wanapenda historia! Hata walipoiba EPA wanasema ni tukio la kihistoria halafu wanasameheana kimtindo!huyu si miss nanii huyu?kumbe tayari ana ka bby!!"hili nalo litapita tu"
Kuna haja ya kutafuta anuani za waandaaji wa miss world huu ni zaidi ya ujinga na tusi Kubwa Kwa watanzania wote Lundenga haya mambo anatakiwa kuyafanya kwenye familia yake. Kwa pamoja na ushahidi wote inatakiwa inbox ya miss world ijae.