Binti yamemharibikia

Kwa upande mwingine wa shillingi. Kigogo nae alikuwa kazidi matumizi na ubadhirifu wa pesa mpaka kuisaliti ndoa. KIGOGO YAMEMHARIBIKIA
 


atoe tu maana hakuna namna
 
Story km ni ya kutunga mm hata sijui ila Nilivokuwa chuo kuna mabinti wa hiv wengi sana walikuwa wakifanya hayo lkn sa hiv tunatafutana jeuri kushinehi....walikuwa wakituzodoa eti ssi washamba hatutaki tumia tulichonacho fr cash...sa hiv ss tuko poa maana tulizoea maisha yetu na hata tukiwa mtaan ss hiv hatubadilish life styl kwhyo n kawaida......hahaaaaa
 
Mpe pole huyo bint nmeamin hii kwa sasa ni ngumu kwa wote mpaka huyo bint kashndwa kufanya birthday
 
hii habari mbona kama inamhusu yule waziri aliyepotezewa na JPM .... hatari sana
 
Sijui nikomenti..!
 
Kama amepanga nyumba ya kifahari maana yake pesa bado anayo. Tatizo liko wapi?
 
kuna yule dada anawaza kupata mabwana wenye hela kumbe hata godoro hana ha ha ha ha ha ha ha ha
Mdogo wangu, sikia maonyo na utulieπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…