Mwanamke na pesa ni sawa na kufanya mizunguko yako Dar kati ya saa 10 na saa moja jioni. Ukiwa kwa gari noma, ukiwa kwa miguu ndiyo noma kabisaaa!
mwanamke ukimpa pesa ni shida na usipompa ndiyo shida kabisaa!
Ninafkikira binti angepata ushauri wa kuwa balozi wa let say watoto yatima, wenye ulemavu au magonjwa sugu na kufanya fund rising dinners, angeweza kupata air time kwenye media na pia uwezekana wa kukutana na kigogo mwingine.