Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,266
- 44,691
A. Utamtafutia mahali ili aitoe?
B. Utamsaidia kuitunza na kukea mjukuu ili arudi shule?
C. Utamshakizia (kumfukuza) kwa familia ya kijana awajibike?
D. Utamkatishia masomo ili alee mtoto wake?
Itakuwaje kama mtu akiyempa mimba ni wa karibu sanakatika familia yako?
, inategemea na situation, malezi ni magumu na mara nyinyi tabia njema ya mtoto ni neema tu ya Mungu, yapo malezi mabaya lakini watoto wa siku hizi Ciello wala sio uzembe wa wazazi ni kupekenyua kwao yasiyowahusu, watoto hawajihurumii. unaweza ukawa na watoto 6 akatokea mmoja kama ulimpa jirani akulee anakusumbua balaa. na unaweza ukawa mlezi mbaya sana lakini ajabu anatokea mtoto mwenye tabia njema tofauti na malezi mabaya aliyopewa. wazazi wanashida sanakwanza kwa sehemu kubwa itakuwa uzembe wangu kutomlea vyema huyo binti ndo mana akapanua mapaja yake mapema na kusahau masomo...kama mzazi i will b a failure ingawa kuna exceptions ya vibinti ambavyo vinapenda dushelele kuliko shule...
Binti akipata mimba huhitaki kukasirika tena
atajifunza sasa tabu ya kulea
na atakuwa na akili mno kwa kujifunza kwa makosa
azae arudi shule
Siyo wote ambao hujifunza.
Wengine hurudia makosa tena na tena na kukuacha na bumbuazi.
Lakini tukiunganisha na ile hoja yangu ya wiki iliyopita - inawezekana binti hajui jinsi mimba inavyopatikana na anaombea kuwa asipate? Je inawezekana wapo mabinti (yumkini wapo wadada wakubwa) ambao wakipata ashki hawajui jinsi nyingine yoyote ya kushughulikia isipokuwa kwenda kupata dushelele! (gademu hili jina linatisha sijui nani alikuja nalo!!)?
A. Utamtafutia mahali ili aitoe?
B. Utamsaidia kuitunza na kukea mjukuu ili arudi shule?
C. Utamshakizia (kumfukuza) kwa familia ya kijana awajibike?
D. Utamkatishia masomo ili alee mtoto wake?
Itakuwaje kama mtu akiyempa mimba ni wa karibu sanakatika familia yako?
hawajui kwani hawapewi hiyo elimu...kibaya zaidi wanapokuwa kwenye hatari ya kupata mimba (heat period) ndo wanaenda kugegedwa pekupeku ...wangekuwa wanajua nadhani siku hizo wangeshindia maji moto....
Thank to Ali Hassan Mwinyi, yeye ndiye aliruhusu mwanafunzi(hata wa shule ya serikali) kuendelea na masomo baada ya kujifungua, imewasaidia wengi sana.Umenikumbusha mbali, kwenye hiyo Maji ya Moto.
About the topic, thank God kuwa siku hizi kuna options ya kukatisha masomo na kuendelea; ila kwa zamani wazazi wengi waliwasaidia kutoa mimba za binti zao.
Siku hizi inapungua sana kwa vile uwezekano wa kurudi shule.