Binti wa Mkuu wa kaya

Binti wa Mkuu wa kaya

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
279
Kwa hisani ya michuzi naomba kuweka picha ya binti wa mkuu wa kaya yetu. Kwa kweli nimempenda ila sijapata jina na contacts

zake jamani. . Sijajua mkuu alikuwa anasema nini hapo
d10.jpg
 
Mamaake kamaliza kila kitu!...Nadhani ni mtoto wa Salma huyu!
 
...Mwana Asha..huyo kitu si mchezo..nikupe namba yake..hahahahaha
 
What goez araundi kam araundi
naye wadau watam'banjua az usual
 
halafu baba anamchek kwa makini mdhungu..acje kufanywa kama Dada yake..hahahahaah
 
Mbona hamna kitu hapo???Sijajua watu uzuri wanaangalia nini!
 
jamani mi siioni hiyo picha, tatizo ni kimeo changu au kitu gani, picha nyingi humu jf kwangu hazifunguki, msaada jamani nami nimuone huyo anaeitwa mrembo...
 
Kwa hisani ya michuzi naomba kuweka picha ya binti wa mkuu wa kaya yetu. Kwa kweli nimempenda ila sijapata jina na contacts

zake jamani. . Sijajua mkuu alikuwa anasema nini hapo
d10.jpg
Kumbe ana watoto wa kike wakubwa kabisa wanao fanana na yule binti wa Zakhia Meghj.
 
Tayari wameanza kumpa shavu katika medani ya vyombo vya habari na soon tu tutasikia makeke yake.
 
Back
Top Bottom