Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

Binti wa mjomba ananitaka Kimapenzi'

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
wakuu ni matumaini yangu mko cool.
Leo nimetupia thread hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana jf naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! TOO SWEET TO BE TRUE!!!!!!!!!!!! HILO TEGO! STUKA!!!!!

Hapo Mke wa Mjomba hakutaki humo ndani unawabana na kujambiajambia sofa zao za cashmere, nyumba nzima umejaaa wee, Mjomba mjomba kitu gani? Kazi kuongeza bajeti!

Sasa Mke wa mjomba kamuomba kistaarabu mumewe akutoe kagoma sasa ndo wamekusukia mpango wa kijasusi wa kukuchomoa hapo kimafia! THEY ARE OFFERING YOU AN OFFER THAT YOU CANT REFUSE!!!!!!!! Ukiingia kingi tu kwisha kazi! Ndo tiketi yako kurudi kwenu huko na Mjomba wako hatotaka kukuona MILELE DAIMA Mwana mtoka pabaya usiyejua vibaya! Amekufazili ukataka kumla mwanae.

Unavosema Mke wa Mjomba anajua wanchekesha mwenzio ndo Master Mind wa Operation Fukuza Mgeni, na anaifatilia kwa ukaribu.

ALL THAT GLITTERS AINT GOLD DUDE!!!!!!!!
 
Hivi kama kataa yako ingekuwa hakika, kweli ungelikuja kuomba ushauri hapa...nadhani kijana una nia mbili, moja inakuambia umong'onyoe amri ya sita wakati upande mwingine dhamira inakusuta...
 
unataka sisi tukushauri nini? kwanza tu unaonesha unataka ila hujiamini kama unapendwa unafikiri umewekewa mtego,jaribu kuheshimu hisia za moyo wa mwenzio,nyie mbona mkitongoza na kukataliwa huwa mnajskia vibaya sana,kula mzigo ila yatakayokupata usijekuomba ushauri nini cha kufanya,yaani wewe kudumbukiza dushelele yako kwenye mbunye ya mwenzio unakuja kuomba ushauri humu wakati ni inshu simple tu
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! TOO SWEET TO BE TRUE!!!!!!!!!!!! HILO TEGO! STUKA!!!!!

Hapo Mke wa Mjomba hakutaki humo ndani unawabana na kujambiajambia sofa zao za cashmere, nyumba nzima umejaaa wee, Mjomba mjomba kitu gani? Kazi kuongeza bajeti!

Sasa Mke wa mjomba kamuomba kistaarabu mumewe akutoe kagoma sasa ndo wamekusukia mpango wa kijasusi wa kukuchomoa hapo kimafia! THEY ARE OFFERING YOU AN OFFER THAT YOU CANT REFUSE!!!!!!!! Ukiingia kingi tu kwisha kazi! Ndo tiketi yako kurudi kwenu huko na Mjomba wako hatotaka kukuona MILELE DAIMA Mwana mtoka pabaya usiyejua vibaya! Amekufazili ukataka kumla mwanae.

Unavosema Mke wa Mjomba anajua wanchekesha mwenzio ndo Master Mind wa Operation Fukuza Mgeni, na anaifatilia kwa ukaribu.

ALL THAT GLITTERS AINT GOLD DUDE!!!!!!!!

Shem umeniua hapa lol!
 
Ngekuwa ngeomba ushauri baada ya kuipiga papuchi!!hiyo ni binamu halali yako ichakaze hadi ipagawe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! TOO SWEET TO BE TRUE!!!!!!!!!!!! HILO TEGO! STUKA!!!!!

Hapo Mke wa Mjomba hakutaki humo ndani unawabana na kujambiajambia sofa zao za cashmere, nyumba nzima umejaaa wee, Mjomba mjomba kitu gani? Kazi kuongeza bajeti!

Sasa Mke wa mjomba kamuomba kistaarabu mumewe akutoe kagoma sasa ndo wamekusukia mpango wa kijasusi wa kukuchomoa hapo kimafia! THEY ARE OFFERING YOU AN OFFER THAT YOU CANT REFUSE!!!!!!!! Ukiingia kingi tu kwisha kazi! Ndo tiketi yako kurudi kwenu huko na Mjomba wako hatotaka kukuona MILELE DAIMA Mwana mtoka pabaya usiyejua vibaya! Amekufazili ukataka kumla mwanae.

Unavosema Mke wa Mjomba anajua wanchekesha mwenzio ndo Master Mind wa Operation Fukuza Mgeni, na anaifatilia kwa ukaribu.

ALL THAT GLITTERS AINT GOLD DUDE!!!!!!!!

Lara1 mi nakuzimia hapo tu! Kwa mjomba kaja kufanya nini huyu faaala? Mwenyewe anajiona kaleta hooooja huyu na yule wa kumwoa mwalimu afu anataka kugegeda namdogowe wote nyoooo, huyu na wanao kaa kwa wazazi wana kazi sawa tu! Kwanza wanaokaa kwa wazazi huwa wanakula dada zao!
We mwache akamue afu ndo atajuwa mjini ukila nauli, utaisoma!
 
Achana naye,jali kilichokupeleka kwa mjomba wako kisha ondoka kaanze na maisha yako.

Hata kama si binti wa mjombako,bado haijakaa vizuri.

Usitumie advantage kwa kuwa uko naye ndani,jiulize kabla ya wewe kuja kwa mjomba nani alikuwa 'anakaza'?

Usimkarimie saaaaana kama demu wako,mkarimu kama dadako tu!
 
hahha mjomba kaingizwa mjini na mke wake....bi.tches!!! cnt trust them..just find f.uck nd forget
 
fanya kilichokupeleka kwa mjomba,achana nae uyo atakubambikizia mimba sasa hv,like mother like daughter
 
Back
Top Bottom