nyembeason
Member
- May 4, 2009
- 44
- 21
Doh very sad kwa kweli hivi hadi miaka hii kuna fain ya elfu 30,000.Wadau, msaada tafadhali. Binti wa miaka 15 (mwanafunzi-secondary na shule haendi tena) alikanyagwa tarehe 24/06/2016 na gari ya serikali, BOT, na.SU 36797, katika maeneo ya Mkundi-Morogoro, barabara kuu ya lami ya Moro-Dom. Alipelekwa hospitali ya mkoa wa Morogoro. Matibabu yakafanyika na kuwekewa HOGO-POP. Dereva alishitakiwa na kupigwa faini ya TZS 30,000/ AU kifungo cha mwaka mmoja. Dereva alilipa faini.
Mtoto analelewa na mzazi mmoja-mama na maisha ni duni sana-tena sana. Nimekuwa nikiisaidia familia kwa kiasi nikijaliwa, nauli na matibabu na pia kwa kuipeleka kesi yake Chama cha Wanasheria Tanganyika kwa msaada wa kisheria. Amepewa Wakili na ameandika barua kwa kampuni ya BIMA. Hawataki kulipa. Hali ya mtoto ni MBAYA SANA kwa sasa. Mguu umevimba upya na unaonekana mifupa haikuunga kabisa. Wadau msaada kwa hili tafadhali
sijawahi kugundua taasisi nyivi kama shirika laSasa hapo kosa ni la bima au gari? Dereva alishawajibishwa na jamhuri (hapa tulilie sheria mbovu za nchi yetu) Tukirudi upande wa sheria bima ndio ina jukumu la kumlipa huyo majeruhi (kwamba atibiwe then wapeleke risiti kwa ajili ya refund)... sijui kama kuna utaratibu wa kulipwa kabla !
Bima ni utapeli tu maana wanatafuta mbinu za kukuminya badala ya kukusaidia
BTW: poleni sana
BOT shirika la umma....kwanini wasimpe matibabu mtoto wakadai bima....mtoo mguu waoza...!!!..very inhumaneSasa hapo kosa ni la bima au gari? Dereva alishawajibishwa na jamhuri (hapa tulilie sheria mbovu za nchi yetu) Tukirudi upande wa sheria bima ndio ina jukumu la kumlipa huyo majeruhi (kwamba atibiwe then wapeleke risiti kwa ajili ya refund)... sijui kama kuna utaratibu wa kulipwa kabla !
Bima ni utapeli tu maana wanatafuta mbinu za kukuminya badala ya kukusaidia
BTW: poleni sana
Sheria zetu mbovu mno, kuna faini mpaka shilingi elfu mbiliDoh very sad kwa kweli hivi hadi miaka hii kuna fain ya elfu 30,000.
Kwa nn bima hawataki kulipa?tuanzie hapo kwanza.....Wadau, msaada tafadhali. Binti wa miaka 15 (mwanafunzi-secondary na shule haendi tena) alikanyagwa tarehe 24/06/2016 na gari ya serikali, BOT, na.SU 36797, katika maeneo ya Mkundi-Morogoro, barabara kuu ya lami ya Moro-Dom. Alipelekwa hospitali ya mkoa wa Morogoro. Matibabu yakafanyika na kuwekewa HOGO-POP. Dereva alishitakiwa na kupigwa faini ya TZS 30,000/ AU kifungo cha mwaka mmoja. Dereva alilipa faini.
Mtoto analelewa na mzazi mmoja-mama na maisha ni duni sana-tena sana. Nimekuwa nikiisaidia familia kwa kiasi nikijaliwa, nauli na matibabu na pia kwa kuipeleka kesi yake Chama cha Wanasheria Tanganyika kwa msaada wa kisheria. Amepewa Wakili na ameandika barua kwa kampuni ya BIMA. Hawataki kulipa. Hali ya mtoto ni MBAYA SANA kwa sasa. Mguu umevimba upya na unaonekana mifupa haikuunga kabisa. Wadau msaada kwa hili tafadhali
kama wewe hautambui uwepo wa Mungu basi usiforce watu wafananeMwenyezi Mungu atamsaidieje? Msipende kumsingizia mwenyezi Mungu kwa uzembe, mtoto anahitaji msaada huyo, tumchangie apate matibabu na sio harusi.
Kwa kuwa ameshapata wakili,naamini atasaidiwa kupata haki yakeWadau, msaada tafadhali. Binti wa miaka 15 (mwanafunzi-secondary na shule haendi tena) alikanyagwa tarehe 24/06/2016 na gari ya serikali, BOT, na.SU 36797, katika maeneo ya Mkundi-Morogoro, barabara kuu ya lami ya Moro-Dom. Alipelekwa hospitali ya mkoa wa Morogoro. Matibabu yakafanyika na kuwekewa HOGO-POP. Dereva alishitakiwa na kupigwa faini ya TZS 30,000/ AU kifungo cha mwaka mmoja. Dereva alilipa faini.