aiseee! hiyo ni kinyume na sheria kabisa, hata sheria ya ndoa hapo imekiukwa kabisa. angekuwa amefikisha miaka 14 angeweza kuolewa lakini kwa sababu maalum na kwa ruhusa maalum lakini kinyume na hapo ni kuanzia miaka 18, chini ya hapo ana hesabiwa kama minor na hana maamuzi na hajapevuka akili.pia hapo sheria na haki ya mtoto imekiukwa kwa hiyo miaka ilibidi awe shule. hapo hakuna ndoa ni kujidanganya japo sheria za dini zinawezakukinzana na za nchi hila ya nchi lazima ifatwe.
kama nilivyo sema sheria za nchi bado zina kuwa na nguvu kuliko hizo.Kama mhusika ni muumini wa imani na anafuata matendo ya role model wake kwenye imani?
Vipi binti mwenye miaka 12 anaruhusiwa kuolewa?
Sheria inasemaje kuhusu hili.
naomba mawazo yenu ili kumsaidia bint huyu
Nini kifanyike mkuu.