BINTI WA MIAKA 12 KUOLEWA ni haki kweli.

BINTI WA MIAKA 12 KUOLEWA ni haki kweli.

NGANU

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
1,919
Reaction score
393
Vipi binti mwenye miaka 12 anaruhusiwa kuolewa?
Sheria inasemaje kuhusu hili.
naomba mawazo yenu ili kumsaidia bint huyu
 
12yrs?!!!! huyu c bado ana upaa jamani?!!! anaemwoa ana umri gani mkuu? plz nitafutie namba za wazazi wa bint huyo ili niweze kumxaidia, plz just do so.
 
aiseee! hiyo ni kinyume na sheria kabisa, hata sheria ya ndoa hapo imekiukwa kabisa. angekuwa amefikisha miaka 14 angeweza kuolewa lakini kwa sababu maalum na kwa ruhusa maalum lakini kinyume na hapo ni kuanzia miaka 18, chini ya hapo ana hesabiwa kama minor na hana maamuzi na hajapevuka akili.pia hapo sheria na haki ya mtoto imekiukwa kwa hiyo miaka ilibidi awe shule. hapo hakuna ndoa ni kujidanganya japo sheria za dini zinawezakukinzana na za nchi hila ya nchi lazima ifatwe.
 
Ni haki kwa nani?! Kwake yeye? kwako wewe? ama kwenu ninyi?

Unamsaidia huyo binti kwa nin? Nini kinachokufanya udhani unamsaidia?

Bila kuyaangalia haya mambo kwa mapana yake tutaishia kuaibika siku moja!!
 
Mkuu man pc na kitu cha ajabu mwoaji ameambiwa atoe mahali ng'ombe 28.
kuhusu namba nitazitafuta kesho.
 
Nganu - I think, the law of the country is that at aged 15 a girl could be married - but within her rights. So basically, wanavunja sheria, more so wana mwonea.

I cant imaged a child of 12 is and will be willing to get married - kwa hiyo mambo ni kulazimishana. :angry:
 
Mkuu BOB LEE SWAGGER,
ni haki kwa mtoto wa kike anayeolewa, na hicho ndo nimeuliza mkuu.
 
Kama yuk shule ni makosa, kama hayuko shule mpelekeni, haki ya huyo mpiga kura ajaye ilindwe!
 
aiseee! hiyo ni kinyume na sheria kabisa, hata sheria ya ndoa hapo imekiukwa kabisa. angekuwa amefikisha miaka 14 angeweza kuolewa lakini kwa sababu maalum na kwa ruhusa maalum lakini kinyume na hapo ni kuanzia miaka 18, chini ya hapo ana hesabiwa kama minor na hana maamuzi na hajapevuka akili.pia hapo sheria na haki ya mtoto imekiukwa kwa hiyo miaka ilibidi awe shule. hapo hakuna ndoa ni kujidanganya japo sheria za dini zinawezakukinzana na za nchi hila ya nchi lazima ifatwe.

Kama mhusika ni muumini wa imani na anafuata matendo ya role model wake kwenye imani?
 
Vipi binti mwenye miaka 12 anaruhusiwa kuolewa?
Sheria inasemaje kuhusu hili.
naomba mawazo yenu ili kumsaidia bint huyu

Anayemwoa anavunja sheria kabisa. Wasichana hawaruhusiwi kuolewa mpaka umri wa miaka 15 (halafu kuna ubaguzi wa kijinsia hapo kwani wavulana hawawezi kuoa mpaka miaka 18...bado wasichana wapo chini sana TZ).

Hatua za kuchukua ni kuwashirikisha (1) polisi, (2) afisa wa ustawi wa jamii, na (3) viongozi wengine ikiwezekana kama mtendaji wa kata. Sijui wanaume wetu wataacha lini kuwaoa watoto na kuharibu maisha yao.
 
Elisya. Hapo ulipo unajifanya kutuletea utumbo wa wakoloni. Kiswahili tafadhali.
Hivi nyie wa tz mmelogwa na wazungu! Yesu wangu!!
 
Sijaelewa hiyo haki tunaitafuta wapi, kwani nyie mliomzunguka mnaona ni sawa? Muache kupeleka watoto shule mnatafuta haki ya kumuoza?

Mkuu ulipaswa kuhakikisha anapelekwa shule huko huko uliko (kama mko karibu) kabla hata ya kuleta swali huku. Hii nchi itaendelea kweli kama rasilmali zetu zinaishia hivi?
 
Mkuu Dina mimi sina muda mrefu sana katika eneo hili.

Nilipolisikia kwa majirani ndo nikaja hapa jamvini kuuliza mkuu.
 
hiyo ndoa au mchezo wa kibaba na mama(ule wa watoto)...kwa hapo mwanaume ajue ipo siku huyo hatokuwa wake tena kwan kwasasa bnt wa age hiyo(12-19) bado hajawa na maamuz sahihi ktk suala la ndoa zaid ya kutaman tu.my opinion wamwache asome bt wakimlazimisha ni sawa na wateka nyara(kidnapers) wenye lengo la kubaka tu...
 
Back
Top Bottom