Wakuu Niko Kwenye Denial Situation Mpaka Sjui Nifanye Nini.
.
Mwaka Jana nilianzisha na Mahusiano na Dada Mmoja Anafanya Kazi Hapa Dodoma.
.
Huyu Mpenzi Wangu ana Binti yake Amemaliza Form 6 mwaka Huu na Amepata div.1 ya point 5 na amechqguliwa Kwenda kusoma udaktari Chuo Fulani Hapa Tz.
.
Sasa nimekuwa na tabia ya Kwenda au kupita kumsalimia Mpenzi Wangu na kusalimia familia yake pia so nilienda pale lazima nimkute Binti yetu Huyu ambae mm Sio babake Wa kumzaa.
.
Kuna wakati Mamake aliniomba niende nae dukani kumnunulia simu Maana Alikuwa anamsumbua Mamake Kwamba anataka simu Kwa ajili ya kutumia.
.
So nikaenda nae dukani Hapa Jijini Dodoma tukanunua simu nikamsajilia na line pia so akawa na namba yangu ila mm sikuchukua yake.
.
Wakuu Huyu Binti wa Mchepuko Wangu ni Kisu sana halafu ana rangi ya mtume.
.
Mazoea yakaanza akawa ananitumia Meseji Sjui dadii nimekumis uje nyumbani Mara Sjui dadii nitoe out Hata bambalaga Yani Hekaheka nyingi Wakuu.
.
Nikawa najaribu kumkwepa Maana Mamake akijua tuna ukaribu kama Huo kitawaka mazee, ila Sasa Mazoea yakazidi, Mara anambie dadii napenda urefu Wako na Rangi Yako nyeusi, Nikawa najibu Asante Mwanangu.
.
Juzi wakati Niko Kwa Mamake then Mamake akanambia twende ndani tukaongee tukaenda Kuongeaongea Mama akataka mzigo ikabidi nimnjunje Kumbe Binti Yuko mlangoni anasikia miguno ya Mnjunjano jinsi Mamake anavyolalamika.
.
Baadae Nimetoka Namwambia Mwanangu naondoka amekaa kimya Wala hajibu sikujali nikaachana Nar, Demu akanisindikiza nikasepa Zangu home kwangu Maana Hapa Dom nakaa pekeyangu Waifu Yuko Dar Kazini pia.
.
Kufika Home akanitumia text Kwamba nimemhudhu, nikamuuliza kisa Nini akasema Kwa Nn Sijiongezi Kwake Maana na yy anataka utamu anaupata Mamake na Yuko Tayari haupate.
.
Nikamuuliza utamu Gani Anaoutaka Kutoka Kwa Babake Mimi, Daaaah ikabidi anambia ananipenda sana na anataka niwe namgonga pia hataki Mwanaume mwingine Zaidi Yangu.
.
Asubuhi Hii kanitumia Meseji Kwamba Nikitoka Kazini atakuja Home Kwangu Kuonana na Mm na Amenambia nisimwambie Mamake.
.
Wakuu nafanyaje Kumuepuka Huyu Binti Nawaza akikolea Kwangu na Mpenzi Wangu Kwa Maana ya Mamake akijua itakuwa noma Sana
.
Nipeni Ushauri Wakuu wa MMU...

