Binti wa kuolewa anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti wa kuolewa anahitajika

Discussion in 'Love Connect' started by SILENT ACtOR, Dec 18, 2011.

 1. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Kwa uchumba na kisha ndoa nahitaji rafiki mwenye vigezo vifuatavyo:
  1. Awe amehitimu form 4 au chuo chochote
  2. Asiwe mnene wala mfupi sana
  3. Asizidi miaka 28
  ---Kazi yangu ni mwalimu na nitafurahi kama yupo mwenye vigezo hivyo anipm au meseji kwenye simu no. 0784-678093
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mbona hujasema wewe ukoje?
   
 3. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mrefu, mwembamba kiasi.
  Colour: black
  Age; 30++
   
Loading...