Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

Nipo hapa muda nafikir mwaka 4 sasa
20200408_200306.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko Bern ukanda wa kule milimani mkuu? halafu huko mnaongea kijerumani sana kitu ambacho mimi kinanipa shida
niachie namba PM nikucheki whatsapp

Mkuu ata mchicha ulianza kama mbuyu wewe jichanganye tu. Huku na wareno na waitaliano wakosovo Albanian Ata neno moja la kijerumani hawajui na wanapiga mzigo bila shida


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa maswali mbona makali sana. Au unamuona jamaa muongo?? Wewe upo wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
😄Atakuwa hazijui vizuri canton za huku au kajichanganya maana asingeweza kushangaa Kuhusu hiyo canton ama hajui maana ya canton

Canton ni sawa kwa bongo useme mkoa Sasa namtajia anashangaa tena😃🙌🏼
 
Wewe jamaa maswali mbona makali sana. Au unamuona jamaa muongo?? Wewe upo wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
Unterwalden ilikua inatambulika hvyo miaka mingi sana iliyopita kwasasa sio official name ukimuuliza mtu nataka kwenda Canton Unterwalden atakushangaa kama unamaanisha a place near Lucerne kuna kalake flani hivi but for now its different ndio mana nimeshangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kuna kitu bado naendelea kuki-note ambacho ni tabia yetu sisi wabongo tulio wengi tabia za chuki, wivu na roho kwa watu waliotuzidi hatua nimekuwa nikifuatilia sana nyuzi za inspiration lazma nikutane na hicho kitu hata kwa nyuzi anazoleta Parabora naliona hili.
Mtu yuko tayari aulize maswali hata ambayo hajui ili abishane kuonekana anapinga uhusika au uhalisia wa mada iliyoletwa akijibiwa na kuzidiwa anakimbia nimefafuatilia nyuzi za Parabora za hivi karibuni na majibu yake ni kweli jamaa anaonesha yuko dunia ya kwanza wanaompinga hawana uzito wa hoja zao ni wivu Kama kawaida yetu wabongo kuwachukia waliofanikiwa na hapa nasema ni haki kwa matajiri wa bongo kutokuwasadia maskini hawa watu nimegundua Wana roho mbaya sana

Tunalalamika hatupeani connection za nje wakati sisi wenyewe hatutaki kusikia Hadith nzuri kutoka kwa wenzetu waliofanikiwa PUMBAVU ZENU, mzee Parabora wewe kula Bata wabongo unatujua vizuri ndio tabia zetu za kudis maendeleo ya wengine
 
Back
Top Bottom