Binti wa Kiiraq amenihonga Vitz siamini

Binti wa Kiiraq amenihonga Vitz siamini

Napafahamu sana,huko ni KWETU.Huyo demu Wa Kiiraki mwenye vitz hayupo,kama yupo labda awe amenunua jana ,kwani Mimi nimeondoka ijumaa nipo arusha,narudi ijumaa ijayo.

Farakhedaa kahoo khaigee,SAA!!akhamisaaa!!
Hahahah Mto wa Mbu kule kuna Vitz kweli?
 
Watoto wa fb naona mmehamia huku
umeona hii kahawa eeh! moyo wa mwanamke kuwa rahisi kiasi anachosimulia moasha habari si mwanamke wa dunia hii. lkn pia aongeze na vitz hatujui kadi inamtaja nani, labda ya wizi, urithi, naye kahongwa, lkn hapo hapo na kupima vvu na majibu yaje kadri ya wapimwaji walivyotamani iwe.
, lkn komeaha mikweche mdada atake na mtoto. mmmh. kumbe arusha hakuna wanaume sasa wa kugawa watoto!

ninaungana na wachache watakaopinga hii. ila kama ni kahawa sawa
 
Hii skripti naona wazi haija kamilika...
Jaribu kuiboresha.
 
Pole Sana ila usisahau ulipotoka ili ukipotea unapokwenda usikose njia ya kurudi ulipotoka.
 
Ukiona mwanaume anapenda kuhongwa na kufurahia kuhongwa na vya bure, HUYO SHOGA mzoefu. Fanyeni utafiti kidogo tu mtajua ukweli huu..😡 Sasa kwa definition ya haraka, Shoga sio mwanaume. Ni mke wa mwanaume.
 
Napafahamu sana,huko ni KWETU.Huyo demu Wa Kiiraki mwenye vitz hayupo,kama yupo labda awe amenunua jana ,kwani Mimi nimeondoka ijumaa nipo arusha,narudi ijumaa ijayo.

Farakhedaa kahoo khaigee,SAA!!akhamisaaa!!
Kula aiyma konk
 
Mara ghafla pah! unashtuka baada ya kupitiwa na usingizi, saa inasoma ni saa saba mchana! Bado hujapata hata chakula cha mchana kwa mama ntilie, na mfukoni huna kitu! Kuna ndoto nyingine ni za kipuuzi sana.
Halaf mbaya Zaid ukute Kuna mtu ulimtegemea akutumie hela kwenye tigopesa halaf kazingua,huwa inaboa sana aisee.
Yaani utaichukia dunia yote na vilivyomo.
 
Nimeshuhudia Rafiki yangu alihongwa Altezza na binti wa kigogo wa zamani wa wizara ya maliasili na utalii, na alinishirikisha ili nimsaidie procedures za kubadili jina… nini Vitz? mapenzi yakikolea unahonga tuu majuto baadae.
 
Mkuu usiwe unapenda kulala mchana ona sasa unajiaibisha kwa ndoto za hovyo
 
serikali inapokabidhi magari mfano ambulance huwa tunaona picha,we picha ziko wapi wakati unakabidhiwa hizo funguo,pia kuna majini ya kiume yanajibadilishaga kuwa wanawake ili yakupate vizuri,siku ukiingiliwa kinyumenyume pia usisite kuuhabarisha uma wa JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom