Its so sad maana ninavyofahamu mabinti wa Keenja na kaka zao akiwemo Amani- wamelelewa katika familia nzuri yenye maadili.Ni watu wastaarabu sana na sidhani Agatha angeweza kujishughulisha na madawa ya kulevya -tena gram 1 ya 9,000/-!
Ukweli utajidhihirisha tu.
Poleni the Keenjas!
Pole Agatha, yote haya ni mambo ya kiswahili watu wanaendekeza. Haki siku zote husimama.
The focus should be on big fishes and not small fish kama kweli tunataka kupambana na hili tatizo la madawa.
hivi mahakama imejuaje kuwa hayo madawa yanauzwa kwa bei hiyo iliyotajwa?
Agatha hajawahi kuwa na kesi ya kutapeli mkubwa!Si ndio huyu ana kesi ingine ya kutapeli??kuna kitu hapo ndani.....labda aliowadhulumu wamemrushia pila la police maana wanajuana bisahara zao..wanavyofanya....
....Mh! Kwani ikiwa ni ya kutumia yeye mwenyewe hana hatia? Nadhani issue ni kuwa ukikutwa na huo unga bila kujali wewe ni mtumiaji, mbebaji au msindikizaji wote dugu moja you better stay behind bars for good!!!Huo uzito ni mdogo sana na ni kupoteza wakati na pesa ya serikali, kupeleka shitaka kama hili mahakamani kwa sababu kama mshtakiwa ni mjanja anaweza sema hii ni kwa matumizi yake binafsi. Hapa ilikuwa wamng'ang'anie awaelekeze nani amempa haya madawa ama amenunua kwa nani? The focus should be on big fishes and not small fish kama kweli tunataka kupambana na hili tatizo la madawa.
O
Basi wakamchukua yeye na mfanyakazi mwenzie wakashuka chini na wakamwambia ingiza mkono chini ya seat ya dereva toa kilichopo kuingiza na kutoa basi wakakuta huo Unga.
Can see how fishy this was??????? Anywayz the truth will be revealed. Kama kuna mtu anadhani has some other facts to prove otherwise anaweza pia kuziweka hapa.
My take: Tujitahidi kutofautisha facts na opinions.
Mmejuaje Amani ni kaka yake?
Hawa watoto wa Keenja wana matatizo gani hawa....tulisikia Eliaisa....na sasa mdogo Mtu Agatha...........Amani Mkuu wangu....sijui na wewe tutakusikia na lipi....lol