Binti wa diwani

Binti wa diwani

Huyu dogo sio bure kavuta bangi na njaa leo mimi nilidhani kala mzigo wa mtoto wa Diwani na kunyanganywa kichinjio kumbe hata kumpigia cm anaogopa mizinga. kwani anakaa Gongolamboto hata uwogope mizinga.

aisee gongo la mboto imetoka wap tena huku. m
 
Hivi kumbe kuna utaratibu,kalenda na fumula fulani hivi kwenye mahusiano. Yani kupiga simu tu unajipanga namna hiyo duh.....
 
duh shule zifunguliwe mapema jamani, af jina analotumia hata halifananii na unachopost umesoma econometrics ndo upo hv??
 
Back
Top Bottom