Binti ninayetafuta kazi

Aisee jf kuna mambo haya jioni njema
 
Ninafikiri mwenye matatizo ni aliyedai picha ya anayetafuta kazi inayoonyesha mbele na nyuma.
Hapana... Haya maswali ya kuuzi yana maana kubwa sana... Pata picha huyu Dada ume muweka au ajiri ktk biashara yako akakutana na wateja wa hivi au akakutana na presha ktk kazi... Jinsi ya kuikabiri moja kwa moja atafanya hivi? Na kama ataifanya mini kitatokea? Lina wezekana hili lilikuwa swali la kumpa kazi au kubadili historia ya maisha yake lakini ndio amesha chezea bahati au fursa ya ajira

Una ulizwa kwanini wewe ni mfupi, au mrefu una tukana au una jibu mapigo au nawewe una uliza tena swali...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akampe mama yake iyo kazi iseeeeee Nina akili timamu tenaaa timuuu[emoji41] ,watu wenye kazi hawana maswali ya kishamba au ya kilimbukeni ivyo ata wewe pia ujui Mimi nani mwambie awe na eshima na maneno yake [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Duh...una matatizo wewe.
Ndio
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…